Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Wazalendo tulipiga kura kwa magufuli ili kuzuia nchi kutawaliwa na wapiga dili
 
Jamani nataka uhakika was Ernest davd silinde jumbo la momba vp Kachukua?
 
Magesa Mulongo alijitapa kabla ya Uchaguzi, Na kweli kafanikiwa!
 
Kwanzia leo mtakiona cha motooo.. Edu anaanza kuwakimbizaa leo na kuendeleaa
 
I call this a boo boo analysis... Unatakiwa kabla ya kuandika hiki ujiulize kwanza whether ushindi wa Mwanza was based on free and fair election. Uchaguzi huu umeongozwa sana na miongozo ya wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wakitumia jeshi la polisi kama kinga yao. Ndio kumbe utaona hii propaganda ya Amani Amani.. Watu wakae majumbani amri ambayo pia imeshinikizwa na mahakama tafasiri yake ni ili kufanikisha uchakachuaji wa kura. Kukamatwa kwa mabox yenye kura zilizopigwa tayari siku kabla ya uchaguzi ktk mikoa zaidi ya mitano ni sample tosha kwamba kila jimbo la uchaguzi mchezo huu ulifanyika na ina suggest kwamba ambako hayakukamatwa yalifanikiwa kupita. Na nikahisi kabisa hizo kura zinazoandikwa zimeharibika ndio bao lenyewe. Kwa kifupi, hicho kilichofanyika, nguvu ya polisi na mahakama, vitisho toka kwa raisi na viongozi mbalimbali iliyotumika ni ishara tosha ya tyranny governments. Hapa sasa tutaona madhara ya kuongoza jamii ambayo majority hawaisupport utawala. Hapajakuwepo maendeleo ktk serekali ambayo imeundwa through unfair election process. Haki haiwezi kuwepo maana hata vyombo vilivyopo vya kutoa haki ni puppet wa serekali.

Unaandika kama vile ulipiga kura pekee yako.Kama mtu kapata kata4kati ya kata18then unasema zimeibiwa?kwahiyo mwaka2010 mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya na polisi walimsaidia Wenje kumtoa waziri wa mambo ya ndani by then Lawrence mashaa?au kipindi hicho polisi hawakuwepo?
 
Watajua kilichowapa kiburi

Na Kiburi Chao Chote Na Jeuri Yao Nzima Ilikuwa Ni Hayo Maeneo Yao Muhimu Ya Kanda Ya Ziwa Na CCM Tumewaonyesha Kuwa SISI Ndiyo MAJABALI WAKUU NA TULIOTUKUKA Wa Siasa Za AFRIKA Na Afrika Na Dunia Nzima INATUTAMBUA Na KUTUHESHIMU Kwa Hilo.
 
Vigogo maarufu ccm wangolewa.
1.steven wasira atolewa kamasi na mjukuu wake
2.Aggrey mwanri
3.Omari Nundu
4.Kebwe
5.Ole sendeka
6 Anna Kilango
Ongeza wengine!!
 

  1. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
  2. Babati Mjini – Pauline Gekul CHADEMA
  3. Bukoba Mjini – Lwakatare Wilfred Mugyanyizi CHADEMA
  4. Bunda Mjini- Esther Bulaya – CHADEMA
  5. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
  6. Iringa Mjini – Peter Msigwa CHADEMA
  7. Kigoma Mjini – Zitto Kabwe ACT
  8. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
  9. Mchinga- Hashim Hassan Bobali CUF
  10. Monduli – Julius Kalanga CHADEMA
  11. Moshi Vijijini – Anthony Calist Komu CHADEMA
  12. Moshi Mjini- Jaffary Michael –CHADEMA
  13. Mtwara Mjini - Maftaha Abdallah Nachuma CUF
  14. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
  15. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
  16. Same Magharibi- Livinston N Kaboyoka CHADEMA
  17. Serengeti - Chacha Marwa Ryoba – CHADEMA
  18. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
  19. Singida Mashariki – Tundu Lissu CHADEMA
  20. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
  21. Tanga Mjini – Musa Bakari Mbarouk CUF
  22. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
  23. Tarime Vijijini – Heche john CHADEMA
  24. Tunduma – Mwakajoka Frank CHADEMA
  25. Vunjo – James Mbatia NCCR-MAGEUZI
 
Zitto sasa hiv itabidi awe kama mrema tu mana mrema kaondoka hamna jinsi itabidi atafufe upande ili asiwe mnyonge awe na wenzie
 
Kilombero cdm imechukua ni baada ya makamanda kupambana vikali na poli fisiem na kubwagwa bwana abakari assenga
 
Ccm ni laana ndai ya hii nchi na inapaswa kurudi kuzimu.
 
Mliwekeza sana katika mafuriko mkasahau kumwaga sera.

UMENIKUNA KUNAKOKUNIKA Kwa Statement Yako Hii KUNTU Kabisa. Hivi Kuna Nini Na Watu Wa MODS Mbona Kwangu Mimi Kile KITUFE Cha " Like " HAKIPO? Ni Mimi Tu au Na Kwa Nyie Wenzangu?
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo,Hanang kwa Mary Nagu kura 6,000 zimeharibika(hii inaweza kutokea hapa kwetu tu)
 
We hujui kilichotokea jimbo la Lembeli! Unaweza kuamini kwamba jimbo la Kahama Lembeli alikuwa na asilimia 80 za kushinda kutokana na kukubalika kwa wananchi ukilinganisha na mpinzani wake wa CCM!

Lakini mbinu iliyotumika ni zaidi ya "bao la mkono" Huwezi amini Chadema haikuchukua hata kata moja pamoja na kupigiwa kura nyingi na wafuasi wake!

Kuna mengi yaliyo nyuma ya pazia kuhusu kilichotokea ila kwa leo ngoja niishie hapa nisije kuwa kama Dr. Ulimboka"

Usilete uzushi hapa. Haya tuambie walifanya nini hao CCM. Mbona wameshinda hata kwenye udiwani?
 
Back
Top Bottom