Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Thanks kwa ufafanuzi mkuu. hayo maeneo yote nayafahamu vizuri ila nilikuwa sielewi hasa ni kwa nini mkoa uwe na watu wengi lakini uwe na majimbo machache.

 
napenda kuwapongeza sana wana cuf na UKAWA kwa ujumla, yalisemwa mengi lakini mwenye macho sasa anatazama..

nilichogudua mpaka sasa aliyenufaika sana na UKAWA ni CUF na huu ndo umhimu wa kuungana... majimno waliuoachiwa CUF wameyatendea haki.

Cjajua kwa nini NCCR imekuwa hivi, sitaki kuongerea NLD.
 
kweli watanzania wengi ni wapumbavu ni asilimia ndogo wanajielewa kwa maisha tunayoishi hakuna haja ya kuisupport ccm
 
Zanzibar wamefanya Vema sana ... Maalim Seif ni Rais wa Zanzibar ... soon tutachagua Rais wa Tanganyika ...
 
CUF - Bara baada ya Lipumba kuondoka ilibaki kuwa moja, NCCR wao hawakushtuka kuwa Kikula ki nguoni mwako wakabaki kusuguana na kutuhumiana kwa njama za kutaka kuuana bila kufahamu kuwa wanatumiwa. Kwa upande wa ZNZ hawakutetereka na matokeo unayaona.
 
HABAR NJEMA WAZANZIBARI...............
MUDA WOWOTE KUANZIA SASA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD ANATANGAZWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR KAMATI KUU YA CCM IMESHAKUBALI DK SHEIN AMESHAKUBALI KUSAIN JAPO KWA MSHIKE MSHIKE CHINI YA USIMAMIZI MKUBWA WA UMOJA WA MATAIFA HIVYO MUDA WOWOTE MAMBO YANAAZA KUWA MAMBO ZNZ HATIMAYE WAZANZIBARI TUNAANZA KUUONA UHURU......Hizi habar ni za uhakika asilimia mia moja...
 
Natamani niwe raia wa Zenji kwa miaka 5 ijayo...

 
dah naona mbuyu umedondoka zanzbar bado bara hongera sana seif
 
Lipumba kapishana na gari la pesa.
 

Kwangu mimi au mwengine tusiokuwa na vyama lengo kuu lilikuwa kumng'oa mtesi wetu ccm...

Kuungnisha vyama vinne halikuwa jambo rahisi tuwape moyo wa kuendelea kuwa pamoja ingawa baada ya uchaguzi kutakuwa na bidii ya kuwafarakanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…