Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mkuu ebu funguka bhana, Kwani kahama napo sisi ukawa tumegegedwa na misisiemu?
Kahama: CCM
Msalala: CCM
Solwa: CCM
Kishapu: CCM
Shinyanga Mjini: CCM
Na wewe ongeza list yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ebu funguka bhana, Kwani kahama napo sisi ukawa tumegegedwa na misisiemu?
Mkuu Abunuas mkoa wa Kilimanjaro una idadi ya watu 1,640,087 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012.Mkoa wa Arusha una idadi ya watu 1,694,310.Ukitazama utakuta mkoa wa Arusha ni mkubwa kieneo kuliko mkoa wa Kilimanjaro.Sehemu kubwa ya eneo la mkoa wa Arusha ni pori na sehemu nyingine ni eneo la hifadhi za taifa (TANAPA) ambalo halikaliwi na watu.Ukisafiri kutoka Arusha kwenda Mkoa wa Manyara kuanzia njia panda ya Monduli mpaka unakaribia vijiji vya mwishi mwisho uingie Babati Mjini ni eneo la JWTZ tena wameweka na vibao kabisa so ukitazama vigezo vyote utakuta Mkoa wa Kilimanjaro una msongamano mkubwa wa watu kwa eneo ukilinganisha na Mkoa wa Arusha.Jiji la Arusha lina sifa ya kugawanywa mara mbili nadhani uchaguzi mkuu ujao labda tume inaweza kutufikiria.
Hakuna namna....Dr Slaa atakumbukwa
CUF - Bara baada ya Lipumba kuondoka ilibaki kuwa moja, NCCR wao hawakushtuka kuwa Kikula ki nguoni mwako wakabaki kusuguana na kutuhumiana kwa njama za kutaka kuuana bila kufahamu kuwa wanatumiwa. Kwa upande wa ZNZ hawakutetereka na matokeo unayaona.napenda kuwapongeza sana wana cuf na UKAWA kwa ujumla, yalisemwa mengi lakini mwenye macho sasa anatazama..
nilichogudua mpaka sasa aliyenufaika sana na UKAWA ni CUF na huu ndo umhimu wa kuungana... majimno waliuoachiwa CUF wameyatendea haki.
Cjajua kwa nini NCCR imekuwa hivi, sitaki kuongerea NLD.
Kwa fedha alizohongwa au kwa kusaliti Mageuzi ?
HABAR NJEMA WAZANZIBARI...............
MUDA WOWOTE KUANZIA SASA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD ANATANGAZWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR KAMATI KUU YA CCM IMESHAKUBALI DK SHEIN AMESHAKUBALI KUSAIN JAPO KWA MSHIKE MSHIKE CHINI YA USIMAMIZI MKUBWA WA UMOJA WA MATAIFA HIVYO MUDA WOWOTE MAMBO YANAAZA KUWA MAMBO ZNZ HATIMAYE WAZANZIBARI TUNAANZA KUUONA UHURU......Hizi habar ni za uhakika asilimia mia moja...
Ni huyo huyo mwenye IMALASEKO supermarketsNi yule Kishimba tajiri wa Mwanza au mwingine? Mzee wa nyeti za kuku hoi na mamvi yake duh!
Lipumba kapishana na gari la pesa.CUF - Bara baada ya Lipumba kuondoka ilibaki kuwa moja, NCCR wao hawakushtuka kuwa Kikula ki nguoni mwako wakabaki kusuguana na kutuhumiana kwa njama za kutaka kuuana bila kufahamu kuwa wanatumiwa. Kwa upande wa ZNZ hawakutetereka na matokeo unayaona.
napenda kuwapongeza sana wana cuf na UKAWA kwa ujumla, yalisemwa mengi lakini mwenye macho sasa anatazama..
nilichogudua mpaka sasa aliyenufaika sana na UKAWA ni CUF na huu ndo umhimu wa kuungana... majimno waliuoachiwa CUF wameyatendea haki.
Cjajua kwa nini NCCR imekuwa hivi, sitaki kuongerea NLD.
Naona mmeamua kujifariji kwa Zanzibar.dah naona mbuyu umedondoka zanzbar bado bara hongera sana seif
mi mwenyewe nimeanza mchakato toka jana, wacha nikaonje mabadiliko japo kiduchu.Natamani niwe raia wa Zenji kwa miaka 5 ijayo...
Natamani niwe raia wa Zenji kwa miaka 5 ijayo...
Twende zetu.