Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Ccm hushinda kwa:\
1. WIZI WA KURA
2. UZEMBE WA WATZ
3. UZEMBE WA UPINZANI.

Tukubaliane kuwa sababu kubwa ya ccm kushinda huwa ni WIZI WA KURA
 

Umenena vema kiongozi! Wasaliti waliokiuka wote wawajibishwe!
 

Strategy yenu ni nzuri - Mjitahidi Twenty Twenty (2020) muwe Chama Kimoja tu - ili msipate taabu ya kujiita Umoja wa nini na nini sijui. Nawachagulia jina la Chama kabisa - Muwe CHACUNL (CHADEMA, CUF na NLD) - Mnaweza kuanza kukisajili Chama Mapema ili msichelewe.
 
Wana UKAWA ambao bado tupo katika kipindi kigumu kama hiki kipindi ambacho tunachanganywa kisaikolojia kuna baadhi ya watu wameshakata tamaa na kusahau suala la ushindi ukawa
kuna watu kama 30 wananilaumu niliwashawishi wampigie kura lowasa na walifanya hivyo sasa wanasema kura yao imepotea mi nawaambia hawajapoteza kitu (NEVER GIVE UP) kwa mwana-UKAWA yoyote kaa ukijua hutakiwi kukata tamaa hadi hatua ya mwisho sipendi wasaliti ambao wanakata tamaa mapema tuungane kwa pamoja kuonyesha kuwa hatujaathirika na njama zao NEC-CCM twende na umoja wetu tumpeleke LOWASSA ikulu kama umekata tamaa sema kabisa tukuchuje
.....ALUTA CONTINUA.....
 

naungana nawewe kabisa mkuu kura bado nyingi sana na ukawa tutashinda tu tusikate tamaa
 
Hahahahaha we are strong than ever, tutachukua nchi I tell you. Ccm WAMEPANIKI
 



Yaani Jimbo tu la TEMEKE, KIGAMBONI, MBAGALA tu..ukiacha majimbo mengine ya DAR... hizo 400,000 Lowassa anafunga hiyo gap...!!!

Naona ushindi bado UPO... UPOO...!!!

Aisee... sbb Jimbo la KIGAMBONI, TEMEKE NA MBAGALA, Lowassa atazoa more than 400,000 votes... sasa hilo gap atafunika haraka sana sana...!!!

Ngoma ipo upande wetu...!!! Sbb mostly wametangaza NGOME ZA CCM...!!!

NGOME ZA CCM ndio zimetangazwa sana sanaaa...!!!

Hapa nimepata matumaini sana sanaaaaaa...!!
 
Watanzania tuendelee kuona Maajabu ya Mungu Peter Msigwa katangazwa Mshindi Baada ya Figisufigisu ya Tokea Jana na Mabomu ya Machozi matumizi ya nguvu yasiyo na lazima pia

Mwisho wa siku Mwakalebela kaangukia sikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…