On the move
Senior Member
- Jul 10, 2015
- 124
- 32
Ni kweli jamani tupia evidence watu tusimslize energy kwa kushangilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie jipeni moyo kwa matokeo feki ya Masaki IT.hiyo ni kawaida,,waliotarajia vinginevyo walikua wamebugi,,,ila lowasa nae anajitahidi
Kwa ili Mbowe na wenzake watajifunza.
**** lako wew mpotoshaji watu, upo kunya nin
Ni kweli jamani tupia evidence watu tusimslize energy kwa kushangilia
he, ole ole sindika chali
Arusha ya Kuwait au? Unaijuaa au unaisomaga kwenye magazet tuu
CCM waliona mbali sana kwa kumtosa Lowassa Mbowe anawaaminisha watu wazima eti wazungushe mikono hewani waimbe mabadilikooooo Lowassaaaaa masikini ya Mungu watu nao wanamfuta Mbowe nuksi sana anajua kucheza na akili za watu ngoja Lowassa akachunge ng'ombe zake.Mbowe ni mfanyabiasha wa kisiasa.
Amefanya biashara yake kwa sasa anashangilia!
Baada ya uchaguzi ataenda holiday kwenye moja ya nyumba zake nje ya nchi!
He's loaded!
Kama kuna mwenye pin ndogo aniazime
Nyie jipeni moyo kwa matokeo feki ya Masaki IT.