Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Mmmmmmmmmmm! aisee nitazimia mimi. Wassira, Olesendeka na Mwakyembe out? Eeeh MUNGU saidia iwe kweli
 
Kwa ili Mbowe na wenzake watajifunza.

Unarukia kwa kujishaua, mwenzako kapanic baada ya kuona jinsi hali ilivyo ngumu, tuliwaambia ccm mmejisahau lakini hamkuamini sasa ndio mambo yanazidi kuwa hadharani. Ile mikataba ya kihuni mliyoingiza taifa ndio siri inakwenda kuwa hadharani. Mlichezea maoni ya wananchi kwa kujifanya nyie ndio mnajua kuliko wao sasa naona picha mnaipata.
 
mleta uzi ninaimani utakuwa umetafuna kinyesi wew, hebu osha mdmo kwanza
 
Gazet linapotosha mpaka saa5 ccm walikua na kata moja tu....sasa wametikisa wapi
 
Mbowe ni mfanyabiasha wa kisiasa.

Amefanya biashara yake kwa sasa anashangilia!

Baada ya uchaguzi ataenda holiday kwenye moja ya nyumba zake nje ya nchi!

He's loaded!
CCM waliona mbali sana kwa kumtosa Lowassa Mbowe anawaaminisha watu wazima eti wazungushe mikono hewani waimbe mabadilikooooo Lowassaaaaa masikini ya Mungu watu nao wanamfuta Mbowe nuksi sana anajua kucheza na akili za watu ngoja Lowassa akachunge ng'ombe zake.
 
SASA inasaidia nini kuandika uwongo wakati matokeo yanajulikana! Gazeti la kipuuzi hili
 
Nyie jipeni moyo kwa matokeo feki ya Masaki IT.

kama unatwitter tafuta account ya,UCHAGUZI MKUU,,,,matokeo yapo kila vituo wanaupdate,,karibu vituo vyote tangu jana magufuli anaongoza,,,ina maana hali ikiendelea hivi mpaka jioni,tayari jibu litapatikana
 
Back
Top Bottom