Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Makamanda wamesambaratika kama Russian aisee!! Njooni mnaitwa na kamanda mwenzenu mje mzungushe mikono halafu mabadiliko yatakuja.
 
Bado hatujafika acheni porojo nyie wazee wa goli LA mkono
 
Mimi ni miongoni ya watu ya wachache waliowah kuzomewa sana kisa tu nimetinga uzi wangu wa njano wa kile chama chetu.Mtaani tulikosa raha, barabarani pia, Mungu saidia heshima yetu irudi mtaani maana tumenyanyasika sana,watesi wetu wakuu wakiwa wamachinga, bodaboda na mama ntilie.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu ibariki Africa
 
HEBU ONA MAWAZO YA MJINGA
?Kikwete kaondoka nchini sijui ni kwanini kakimbia...
?Magufuli still yuko mwanza
?Lowassa Dar
?MWAMUNYANGE aliko...? 😳
?Ndani ya usalama wa taifa kuna mpasuko
?Wakuu wa Majeshi ya kanda
Wanabeef na Kikwete
Baada ya ile SAGA ya mwamunyange kupewa sumu...
?Lubuva ashaachiwa maagizo na Boss wake JK
?Naona dalili nyingi Jeshi wakichukua Nchi
🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿🚶🏿
 
Kamanda tunakuelewa na nina hakika UKAWA inaongoza maeneo mengi. Na ninatumaini bado UKAWA wanaendelea na tallying kwa stations zingine ambazo ni lazima usalama wake uwe imara sana. Mungu atatusaidia. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu. Uongozi wa kulazimisha hauna baraka kabisa. Tuendelee kumuomba Mungu sana atusaidie na tutashinda tu. Tusikate tamaa kabisa.
Kweli wewe kamanda hamna kukata tamaa pambana mpaka dakika ya mwisho.
 
hahahahaha kwa taarifa yako gap la arusha limefidiwa na majimbo kama 5 tu kwa gap ya kura kama 82,000. Na bado majimbo mengine ambayo Dr Magufuli anamburuza kwa mbali mno fisadi lowasa. Sahau fisadi kushinda, na atakoma
you can imagine,kura zimezidi 70 kutoka upinzani A rusha,halafu makufuli kuna mahali kakomba kura zilizozidi 3500
 
Hivi kumbe wakishinda mtapewa mtaji. Mwenyezi Mungu asikie maombi yenu mjikwamue kiuchumi hali ni ngumu ati.
 
Tatizo elimu nyie ndg zangu wasukuma bado sana! Mnaangalia ukabila daa! Shida sana dudendelea gete nahene!

Kanda ya ziwa kuna wasukuma tu? Mabila mengine je? Na huko mikoa ya kusini je? Kiufupi ni kua MAGUFULI KAMALIZA KAZI....Acheni kuleta mipasuko isiyo kua na maana....
 
Tatizo elimu nyie ndg zangu wasukuma bado sana! Mnaangalia ukabila daa! Shida sana dudendelea gete nahene!

Na wewe kumbe ni mjinga, hivi hujui kwamba John Momose Cheyo ni Msukuma, alipogombea urais 1995 mbona hakupata kura nyingi Kanda ya Ziwa? Hujui kwamba gharama ya fomu ya urais ya JK (ambaye ni Mkwere) ililipwa na wazee wa Mwanza mwaka 2005?

Angalia matokeo yanayotolewa huko Arusha na Moshi, wewe kipofu huoni 'ukanda' unaoendelea huko bali unatazama tu ukabila kanda ya Ziwa, shame on you Sir/Madam.

Magufuli hakupigiwa kura kwa vile ni Msukuma bali:
(1) Utendaji wake unaonekana kwa kila mtu ndani na nje ya Tanzania.
(2) Ujio wa Lowassa UKAWA umewaudhi wananchi wengi wanaochukia ufisadi.

Endapo UKAWA mtashindwa, kichinjio chenu ni EL, atakuwa amewachinjia baharini. UKAWA hawakufanya thorough risk assessment ili kujiridhisha kama EL ni Asset au la!
 
Back
Top Bottom