Matukio valentine day

Alikuws na valentine wake muda unamsumbua na simu zako
 
kwa uzoefu wangu huyu binti ana tabia saba kubwa na mbaya sana kwa future ya mwanaume atakayekuwa naye: 1. MBINAFSI 2. MCHOYO 3. MALAYA 4. SIO MTII 5. SI MVUMILIVU 6. SI MWEPESI WA KUSAMEHE 7. ANA HASIRA NA MWEPESI WA KUFANYA VISASI mabinti wa hivi wengi wapo Tanzania japo sio wote.. kuwa makini usije kufa mapema..
 
No love, No stress... Jana nimekula vizuri mno,
•Ahsubh Chai na Mkate wenye chombeza na mayai ya kuchemsha manne.
•Mchana nikaagiza Eggchop nne nikaminyia Tomato sause ya kutosha na Juise ya Embe ya bariiid
•Usiku Kuku wangu roast, viazi ndimu kwa mbali na Coca baridiii..... huku nacheki Movie yangu ya "Inside man most wanted" Hadi nikapitiwa na usingizi.
 
Jana nilimwambia mwenzangu aniandalie dagaa wenye pilipili hoho nyingi sana na pilipili za mwendo kasi zakutoshaaa kwani nimekumbuka sana kukohoa na ugali mkubwa kama tufe.Mifuko imechacha .Valentine ilikuwa kama msiba .
 
😅😅😅😅
 
Dah hizi sifa zinatafakarisha sana 🤔🤔🤔

Kama ni wa hivi jamaa ashukuru snap kilichotokea
 
Nilienda zangu darasani, tukasoma sana tu ila muda wote mwalimu anatucheka, "wenzenu wameenda Kwenye outing za valentines day nyie mmekuja kukomaa darasani au mmeachwa?"😂😂
 
Mwendelezo tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…