Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Had wew ulikuwa kipenz kisaidiz😀Hahahah
Ningeweka screenshoot nilivyojibiwa.
Sema nimeshafuta sms na namba za mdada yule.
Mungu amsaidie huko aendako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Had wew ulikuwa kipenz kisaidiz😀Hahahah
Ningeweka screenshoot nilivyojibiwa.
Sema nimeshafuta sms na namba za mdada yule.
Mungu amsaidie huko aendako.
Wew ulijibiwaje,😂Naona kama mhusika kafika
Alikuws na valentine wake muda unamsumbua na simu zakoBaada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.
Nimefika gheto nikaoga then nikampigia demu wangu huyo simu ili ikiwezekana nimpe kile nilichojipinda kama mtu wake......mara ya kwanza simu ikaita haikupokelewa........nikasubiri dakika tatu nikapiga tena kimya........nikapiga tena haikupokelewa.
Baada ya hapo nikatuma ujumbe mfupi...."baby upo wapi.....nahitaji kukuona baby"...........kwa haraka akareply "ndo unanikumbuka saivi".......nikashangaa sana.........Nikampigia simu tena hakupokea tena......ilikuwa mida ya saa 1 na nusu hivi usiku.
Basi bwana sababu nampenda sana yule binti nikamfuata jamaa angu mmoja tupo nae hapo kwa mtaa nikamuazima simu yake ili nimpigie huyu demu wangu since calls zangu hapokei.........kweli akapokea......"naniiii(nikamtaja jina lake).....nini tatizo mbona unanifanyia hivi?..........akajibu ."muda wote ulikuwa wapi kunitafuta.....ebu niache akakata simu"
Wakuu niseme ukweli niliumia mno........nikamrudishia jamaa simu yake nikawasha gari huku nimebeba zile zawadi nikaenda kimara mwisho nikazigawa kwa wale watu wanakuwepo pale darajani wakiomba msaada........nikarudi zangu geto nikalala zangu......Huyu demu wala msijali wakuu sitawaangusha nitafanya maamuzi sahihi kabisa kwake kwa alichokifanya.
Ni tukio gani ulikumbana nalo jana siku ya wapendanao?? liwe nzuri au jau kama langu.
😂😂😂Wanawake bhana!,wanataka simu wapigiwe,pesa wapewe,walindwe,uwajali,kwenye kugegeda umuandae yeye ni kuguna tu
Kila kitu wafanyiwe,hawa wajinga sio wa kuwaendekeza
kwa uzoefu wangu huyu binti ana tabia saba kubwa na mbaya sana kwa future ya mwanaume atakayekuwa naye: 1. MBINAFSI 2. MCHOYO 3. MALAYA 4. SIO MTII 5. SI MVUMILIVU 6. SI MWEPESI WA KUSAMEHE 7. ANA HASIRA NA MWEPESI WA KUFANYA VISASI mabinti wa hivi wengi wapo Tanzania japo sio wote.. kuwa makini usije kufa mapema..Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.
Nimefika gheto nikaoga then nikampigia demu wangu huyo simu ili ikiwezekana nimpe kile nilichojipinda kama mtu wake......mara ya kwanza simu ikaita haikupokelewa........nikasubiri dakika tatu nikapiga tena kimya........nikapiga tena haikupokelewa.
Baada ya hapo nikatuma ujumbe mfupi...."baby upo wapi.....nahitaji kukuona baby"...........kwa haraka akareply "ndo unanikumbuka saivi".......nikashangaa sana.........Nikampigia simu tena hakupokea tena......ilikuwa mida ya saa 1 na nusu hivi usiku.
Basi bwana sababu nampenda sana yule binti nikamfuata jamaa angu mmoja tupo nae hapo kwa mtaa nikamuazima simu yake ili nimpigie huyu demu wangu since calls zangu hapokei.........kweli akapokea......"naniiii(nikamtaja jina lake).....nini tatizo mbona unanifanyia hivi?..........akajibu ."muda wote ulikuwa wapi kunitafuta.....ebu niache akakata simu"
Wakuu niseme ukweli niliumia mno........nikamrudishia jamaa simu yake nikawasha gari huku nimebeba zile zawadi nikaenda kimara mwisho nikazigawa kwa wale watu wanakuwepo pale darajani wakiomba msaada........nikarudi zangu geto nikalala zangu......Huyu demu wala msijali wakuu sitawaangusha nitafanya maamuzi sahihi kabisa kwake kwa alichokifanya.
Ni tukio gani ulikumbana nalo jana siku ya wapendanao?? liwe nzuri au jau kama langu.
Toka huu mwaka uanze nimeshuka ghafla kutokaHad wew ulikuwa kipenz kisaidiz[emoji3]
PolesanaToka huu mwaka uanze nimeshuka ghafla kutoka
Kipenzi kikuu hadi kisaidizi.
Gari sio suluhisho.Una gari na unafanyiwa hivyo. Je sisi hata hatujui kuendesha si ni balaa
Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅Mimi jana yalonikuta aisee
Nliona tangazo moja la kazi January nikaona nitume CV nikasema unaweza kuta napata malisho mazuri zaidi
Ijumaa nikaona email wameniita interview Tuesday 1300
Nmefika interview ikaanza vizuri (lugha ya malkia) wameniuliza maswali kidogo kisha wakaniuliza kuhusu mshahara
La haula kabla sijataja nikaona interviewer soksi zake zimetoboka
Dah hizi sifa zinatafakarisha sana 🤔🤔🤔kwa uzoefu wangu huyu binti ana tabia saba kubwa na mbaya sana kwa future ya mwanaume atakayekuwa naye: 1. MBINAFSI 2. MCHOYO 3. MALAYA 4. SIO MTII 5. SI MVUMILIVU 6. SI MWEPESI WA KUSAMEHE 7. ANA HASIRA NA MWEPESI WA KUFANYA VISASI mabinti wa hivi wengi wapo Tanzania japo sio wote.. kuwa makini usije kufa mapema..
Shida ni kwamba anaahisi anani mudu[emoji1787][emoji1787]Ana kuona famba siyooo
Mwendelezo tafadhaliBaada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.