Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Huu uzi nimesoma page moja 2 nimecheka sana jamani nahisi nkisoma page zote nitalewa
Na mm nimesoma huu mstari tayar nimelewa


"nkisoma page zote nitalewa"
 
Kuna siku nilijaribu kujipima kipimo cha mwisho siku hizi ngapi, nilimaliza Heineken 20 kuanzia saa nne asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.

Ikabidi niongeze visichana vitatu mpaka inafika saa tano ndo naenda home ila sikulewa nilivyokuwa nataka.
Haukulewa wewe??? Mbona uliingia ndani ukitambaa?
 
Kuna wengine wanalewa halafu bunduki wanaweka pembeni utadhani kaweka mwamvuli vile.
 
Duuuhh kweli mnafaidi sanaaa!!..

Ivi mlevi wapombe unapokunywa pombe mbele ya wanao walio wadogo kiumri imekaajE??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…