Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Okota hii!! Pombe haiufnyi ubongo upoteze kumbukumbu ila inaufanya ubongo ushindwe kutengeneza kumbukumbu mpya.. Na ndio maana mlevi matukio yote kabla hajawa bwi bwax anakumbuka yote ila baada ya kuwa anatema mate kulia na kufukia kushoto Hakumbuki matukio yake mapya..


Sisi wa soda, wajaza nzi, day care hatuna cha kuchangia.
Kumbe hahahaha nimecheka sana
 
mojito is a cocktail that consists of five ingredients: white rum , sugar (traditionally sugar cane juice), lime juice, soda water , and mint .
Ooooh kingereza mm neiyaaa
 
Wewe ulimchenjia tu kwa akili zako sio kwa pombe, maana uzuri wa vituko vya pombe ikiisha kichwani na uliyoyafanya nayo yanaishia hapo hapo
Mi kwa akili zangu ila pombe zimechangia kupata ujasiri wa kumchenchia.
 
Back
Top Bottom