Matukio ya Kushangaza Duniani Yanayodaiwa Kusababishwa na Uchawi

Tambua uchawi ni haupo, ila imani juu ya uchawi ipo kwenye vichwa vya watu
Mtu unaamka unakuta nywele zako zimenyolewa, hiyo ni imani? Au ni hali halsi ya kichawi.
Unaendesha gari unaona mijitu imesimama mbele yako barabarani; ukiikwepa, badala ya kusalimika ndo unapata ajali, hiyo ni imani au hali halisi ya kichawi. Uchawi upo na njia za kuushinda uchawi tumeziona leo, hivyo usiogope.
 
Sio kila kitu ni uchawi mambo mengine ni issue za majini.
 
movie na series ambazo ni kazi za sanaa ndio sababu ya kuamini uchawi upo ?
Kwani sababu ya kutoamini uchawi ni ipi? Ni kwa sababu kuna mambo yaliaminika ni uchawi ila haikuwa uchawi ndio sababu ya watu kutoamini uchawi?
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema hakuna tiba yeyote ya mambo ya kichawi wala majini isipokuwa tiba hiyo inapatikana kwa wakristo tu?
 
Sio kila kitu ni uchawi mambo mengine ni issue za majini.
Tuko pamoja. Katika bandiko langu nimeeleza kuwa uchawi unatokana na shetani na mapepo(majini). Mchawi ni mtu anayeshirikiana kiutendaji na majini/mapepo
 
Ulianza vizuri, lakini mwisho umeharibu
 
Hiyo TARANTLISM hata huku kwetu ipo sana tu, watu kulipuka tu, kupata sonona nk, ila tumeamua kuuita ugonjwa wa afya ya akili
 
Set me free
 
UCHAWI UPO!!!
 
Hiyo TARANTLISM hata huku kwetu ipo sana tu, watu kulipuka tu, kupata sonona nk, ila tumeamua kuuita ugonjwa wa afya ya akili
Umeona eeh. Tuombe Mungu awasaidie watu kuzijua njia hizo za kuushinda uchawi
 
Duuuuuuuuuuuuh!!! How???
Jesus can set you free from sin and witchcraft through His sacrifice on the cross and His resurrection, breaking the power of darkness and offering you salvation. When you believe in Him, repent of your sins, and surrender your life to His lordship, He cleanses you with His blood, fills you with the Holy Spirit, and gives you authority over all evil forces (Colossians 1:13, Luke 10:19). His truth replaces deception, His peace overcomes fear, and His power destroys every bondage of sin and witchcraft. By walking in faith, prayer, and obedience to His Word, you remain free and victorious in Him. Umenipata?
 
Yeah I gotcha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…