Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Timu iko vizuri, hii ndio timu ya Mataji ni swala la Muda tu.
 
Hawa Zanaco ni level ya shirikisho

Sasa imagine hivi vituko vikienda kukutana na akina Ahly

Tuwaombee hawa kwa maslahi mapana ya soka la Tanzania
Kama Zanaco ni level ya Shirikisho na ile timu iliyotoka sare na Makorokoro FC juzi ni ya level ipi?! Manake ile timu hata kwenye ligi kuu haipo 🤣🤣
 
Mnaongopewa Mpaka Mnaongopewa Tena Wameona Mnakosa Imani Wamewaletee Yule Mzungu Pori Kuhisi Mnaikomoa Simba.

Siku Yenu Hii Na Bado Mmemburuka Uwanjani Hakuna Mnachofanya.

Wezenu Wako Bizee Na Maandaliza Nyie Mnafanya Biashara. Kulalekii Na Tarehe 12 Tenaa
 
Yanga tunahitaji game nyingi za kirafiki coz tusije kulaumiana huko mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…