Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
poleni, si mngeita mbeya city tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akina flani bwana waliwajaza bichwa na ndo maana uwanjani mlijaa kwa sifaNaona mmepata nguvu na mmekuja kwa nguvu sasa
Manara fc 1 Zanaco 2Ngapi ngapi huko update plz
Kama Zanaco ni level ya Shirikisho na ile timu iliyotoka sare na Makorokoro FC juzi ni ya level ipi?! Manake ile timu hata kwenye ligi kuu haipo 🤣🤣Hawa Zanaco ni level ya shirikisho
Sasa imagine hivi vituko vikienda kukutana na akina Ahly
Tuwaombee hawa kwa maslahi mapana ya soka la Tanzania
Bora sare kuliko kutobolewaKama Zanaco ni level ya Shirikisho na ile timu iliyotoka sare na Makorokoro FC juzi ni ya level ipi?! Manake ile timu hata kwenye ligi kuu haipo 🤣🤣
Mbona tumeishia hapa updater wetu yuko wapi, shangwe zimekata ghafla makambo hasikiki kulikoni?
Tuliwafunga mpira sio msemaji hawakusikia ona hii aibu Kumbe ndio maana wamepoa mjiniFull time
Uwanja wa Mkapa
Yanga 1 vs Zanaco 2