Hali ni mbaya sana na hapa katikati inabidi tutafute game nyingi za kirafiki na sio mazoezi tuIla mkuu Mimi nilijua tu unakubali.vip.mwanaume mwenzako.akulipie kila kitu matokeo ndio haya umekuwa lain
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mtakutana nazo ligi ikianza uswaze sana[emoji23][emoji23]Yanga tunahitaji game nyingi za kirafiki coz tusije kulaumiana huko mbele
Diplomasia ya Yanga haikujua umuhimu wa hii mechi?Kuna namna kwenye hili tamasha letu tuwe tuaishia kutangaza wachezaji tu halafu kula Biriani na kunywa na kusema zetu
Uongozi uliangalie hili
Basi subirin river utd hy trehe 12Ligi ipo mbali sana mzee
Mimi hili nililiona mapema sana kuna mengi worse yanakuja hapo baadaye, timu haina combination wala haifati protocols za soka viongozi hawaheshimu mipaka yao, wao kwasababu ndo maboss eti hadi usajili wanafanyaWameleta timu sahihi na iko kwenye mashindano kama yao na pia hiyo timu iko kambini toka agasti.
Nadhani sasa Yanga wamejua kwamba kumbe Simba walifanya Kazi hadi kuwabeba utopolo.
Nadhani ni wakati muafaka wa kutoka kucheza mpira whatsup,fb,insta nk na kuanza kucheza mpira uwanjani.Na kama walisajili majina badala ya wachezaji watakula hasara hadi wakae sawa.
By the way Yanga itaishia round ya kwanza timu yao bado Sana.
Upo sahihi kaka mkubwa na vip kocha wa.viungo na kocha msaidizi mmeshawapata tayar?Hali ni mbaya sana na hapa katikati inabidi tutafute game nyingi za kirafiki na sio mazoezi tu
Subiri tuione pia ya kwetu maana hii Simba Sc ya sasa si ile ya msimu uliopita, na hata ukiangalia mechi za kirafiki tulizocheza hatukupata matokeo mazuri licha ya kucheza na team ambazo hazitokuwepo kwenye mashindano kama yetu (CCL).Wameleta timu sahihi na iko kwenye mashindano kama yao na pia hiyo timu iko kambini toka agasti.
Nadhani sasa Yanga wamejua kwamba kumbe Simba walifanya Kazi hadi kuwabeba utopolo.
Nadhani ni wakati muafaka wa kutoka kucheza mpira whatsup,fb,insta nk na kuanza kucheza mpira uwanjani.Na kama walisajili majina badala ya wachezaji watakula hasara hadi wakae sawa.
By the way Yanga itaishia round ya kwanza timu yao bado Sana.
Hivi wataanzia nyumbani au ugenini?Basi subirin river utd hy trehe 12
Sawa mchambuziMimi hili nililiona mapema sana kuna mengi worse yanakuja hapo baadaye, timu haina combination wala haifati protocols za soka viongozi hawaheshimu mipaka yao, wao kwasababu ndo maboss eti hadi usajili wanafanya
Mwisho wa siku timu inamaliza usajili na hakuna hata mchezaji mmoja ambaye alikua kwenye mipango ya kocha, alafu hapo hapo uongozi unamuachia mzigo kocha kupitia kikosi hicho hicho ambacho hakikua katika chaguo lake kua kinatakiwa kilete ushindi.
Kulikua na sababu ya msingi sana kocha kususa na kudai apewe muda zaidi ili kuiweka kwenye formation hii timu aliyosajiliwa bila matakwa yake, hata ile tour ya moroco iliyokua aborted ila ikaja kufichwa kwa upepo shamra shamra za manara kuwaweka mashabiki kizani wasi focus kujua sababu ya wao kukatisha tour ghafla.
Yaah hao wamepatikana mkuuUpo sahihi kaka mkubwa na vip kocha wa.viungo na kocha msaidizi mmeshawapata tayar?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nasikia nyumbani