Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Mkuu mimi naona tumepishana kidogo
Sip kwamba mukoko na zawadi wanachezaga chini then feisal juu na farid ndio viungo washambuliaji?
Hivyo mukoko akitoka na feisal akatoka, bangala akaziba nafasi ya mukoko then automatic zawadi ataziba juu kwa feisal mimi nimeona hivyo ni muono tu
 
Mwamnyeto now hana namba pale, atakuwa anaanza Bangala na Job
Mwamnyeto tatizo sometimes hajiamini na maamuzi yake anaona kama atachoma tofauti na mwenzie job, dogo huyu haogopi risk anapenyeza pasi ndefu ya chini mbele za maadui na inamkuta mtu, ila bakari anaogopa sema amejitahidi tu hajacheza vibaya,
Huyu bangala anajua kwa dakika chache alizochza, tukumbuke huyu ndio ataziba nafasi ya mukoko hapo kwenye ngao ya jamii.
 
Timu ya kishingo itacheza federation cup walimaliza nyuma ya wydad na raja na mwezi ujao team inaenda nchi nyingine probably misri
 
Timu ya kishingo itacheza federation cup walimaliza nyuma ya wydad na raja na mwezi ujao team inaenda nchi nyingine probably misri
Highlights tu zilionyesha kuwa team ya kishingo ilikuwa vizuri na hata ukiangakia aina ya magoli tuliyofungana bado inatuhukumu.

Ile mechi yetu ya pili ya kirafiki, hatukucheza na team iliyo ligi juu na bado matokeo hayakuwa mazuri, kikubwa tunahitaji muunganiko kwenye team, tunatakiwa tucheze mechi nyingi za kirafiki Ili team ipate muunganiko mzuri.
 
Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
 
Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
Imeisha hiyoo mkuu, leo tuanze kuwaza mambo mengine ya maendeleo
Kazi iendeleeeee
 
Sikumbuki Kama Kuna mkongomani yoyote aliyekuja Yanga akawa na shoo mbovu. Kuanzia wakina Tambwe Leya mbaka Tuisila na Mukoko. Kwa ujumla kazi za wakongoman pale Yanga zinajieleza zenyewe wanajituma Sana.
Kindoki [emoji23][emoji23]
 
Simba iliyobaki moroko kipa mmoja ally salim,hadi morrison alicheza full back simba hawajaridhika ndiyo maana tar 12 wanaenda misri kambi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…