Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi

301BE224-80D2-48E1-9190-6A244FDFCA3C.jpeg

F000E2CD-80FE-474D-800E-15F1F6AFBE9B.jpeg

2ECD461B-BD8B-4B68-9BB2-D257C400844A.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Congress Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

7F098160-52C5-4655-AA52-D95022487965.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uswizi, Alain Berset mara baada ya mazungumzo katika ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

17F6B94E-6C5E-4652-A9C4-E911DB665AAD.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

Picha: IKULU
 
Anatema ung'eng'e! Safi sana ingawa hata akikosea siyo hoja kubwa maana siyo mother language! Lakini ukisema "you goes", watakushangaa!
 
Ikulu mawasiliano ,msiishie kutangaza na kutoa ratiba ya ziara za Mhe.Rais toeni na faida za ziara hizo.

Tengenezeni documentary ambayo itaelezea ziara za Rais Dkt.Samia na faida kwa nchi. Tuna Imani sana na Mhe.Rais
 
Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Congress Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

View attachment 2487831
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uswizi, Alain Berset mara baada ya mazungumzo katika ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

View attachment 2487833
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

Picha: IKULU
Kweli anajitahidi, angekuwa yule jamaa sijui angetuaibisha kiasi gani mbele ya hao wazungu!
 
Back
Top Bottom