Matukio ya Ushoga duniani

Hii ni kweli
Mwanaume timamu hawezi kuwa shoga!
Kabisa mkuu labda mtu alawitiwe napo akiwa timamu hawez rudia huo upuuzi eti kisa kalawitiwa.

Labda ni vile kunatoa akili basi mtu akilawitiwa basi anapata sababu ya kua shoha kabisa.
 
Relaaaaaaax wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unajaribu sana kutaka kuonesha kuna kitu unakijua, kumbe unateseka.
Weraaaaaaah Weraaaaaah.
Relax kijana hamna anaetaka kukua hapa
 
ingawa ushoga ni uovu mbaya katika jamii Kila mtu anahaki ya kuishi ikumbukwe shoga , wanawake wanaofirwa, wanaozama chumvini, wanaume wanaofira wake zao au michepuko , wote ni uovu ulio kundi 1 hawana tofauti kwamba MUNGU anamchochea mtu amuue mwingne wakati huo huo anayeua anafanya uovu🤕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…