Matukio ya Ushoga duniani

Kwa sababu waafrika tunapenda kukopi....sasa tumeletewa huo UCHAFU MAALUM
 
Kama ni hivyo hatutaki tena visa za kwenda Ulaya na Amerika bora tubaki zetu kwetu Chitipa.
 
Kwa sababu wewe unakunywa maji yenye akili zako za kijinga zinakutuma kuwa waafrika wote ndivyo walivyo.

Hapa hatujadiliani mambo ya vipindu pindu na maji yenye mavi yako sijui baki kwenye uzi acha kuleta ngonjera
Sijasema Waafrika wote ndivyo walivyo.

Nakwambia hivi, tatua matatizo yako huko maghorofa yanaanguka ovyo na watu wanakufa kama nzi kwa malaria na kipindupindu. UKIMWI na maambukizi ya HIV vimepungua kwa sababu ya dawa za kusaidiwa na hao hao unaowaita wazungu.

Leo Trump kashinda uchaguzi US Waafrika wanaogopa akiondoa misaada ya dawa za kufubaza HIV nchi za Africa kama Tanzania zitafanya nini.

Maliza matatizo yako kwanza kabla ya kushadadia maisha ya hao unaowaita wazungu.
 
Wewe jamaa nilichoandika kina uhusiano gani na hayo uliyo andika
 
Wewe jamaa mjinga sana nilichoandika kina uhusiano gani na hayo uliyo andika zimo kichwani kweli wewe
Hujaelewa tu maana ya hypocrisy ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa" ?

Unawasema vibaya hao wazungu, misaada yao unaikataa pia?

Hii internet waliyoitengeneza wao mostly nayo unaikataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…