Matukio ya vijana kujidhalilisha ,kuuza utu wao yanazidi kushamiri.

Wanaume stukeni, Shetani anataka kuwapotezaaa

Kiumbe mwanaume anatoweshwa anabaki kiumbe mwanamke
Tumeshtuka ndio maana tunaoa na kuzaa sana bibie
Mwanamke akigoma kuzaa watoto tunaotaka tunaongeza pembeni wa kutosha
 
Ana 40+ ana mke na watoto tukio hilo limefanyika mbele ya dada yake
Jamii yenyewe imeshapotea mkuu,

Hilo suala kufanyika hadharani tu na kwa muktadha huo unaousema , inaongea mengi sana kuhusu jamii yenyewe (nikisema jamii simaanishi hao watu wa rufiji)

Angalia stori zinazopigwa kwenye maeneo yenye mikusanyijo kama masoko, njoo na kwenye hizi movies za miaka hii

Binafsi movie hizi za ulaya na marekani nimeshazipiga chini

Kazi kubwa inabidi ifanyike katika jamii zetu la sivuo miaka si mingi tutaanza kuwalaumu wazungu na shetani
 
Kiufupi tupo Kwenye kizazi kibaya sana
 
Mkuu una MANISHA nawe uliona MTU ananyonya kabisa live mkuu,


Full stop, kwishaaaa
 
I second you sir
 
Chai ya mchana. Tukio kama Hilo haliwezi kufanywa na watu wakakuangalia bila kukutandika bakora anaenyonya na anaenyonywa kwa Ikwiriri ipi watu wasngalie ujinga kama huo. Lengo lako tumeshalijua ndio maana ukaweka jina LA mhe Mchengerwa hapo. Acha kuongopea watu ongea unachokikusudia.
 
Mkuu hujui kitu ,nimeshindwa kuweka video hapa kwani nitakuwa kama nasambaza maudhui yasiyofaa.

Wahusika wote wamekamatwa Ile Ile jana,masheikh,na baadhi ya ndugu walilia Kwa walichoshuhudia.

Eenhee niambie ni lengo gani ulilolibaini kwangu
 
Waislamu kazi mnayo, eti "dhakari". Ni mara ya pili nalisikia hili neno toka kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…