Iiih, ujumbe Tena !Nyie mnasikitika mjane anazidi kunenepa tu na kupendeza, kuna ujumbe mzito hapo
Iiih, ujumbe Tena !Nyie mnasikitika mjane anazidi kunenepa tu na kupendeza, kuna ujumbe mzito hapo
Kapotezwa kinomanoma!na yule heri james aiseh ACHA kabisa!Doto jemsi analia
Nyie mnasikitika mjane anazidi kunenepa tu na kupendeza, kuna ujumbe mzito hapo
Watasema wewe ni Anti-JPM Legacy Ila umeongea 100% Factwee wajane wote wananenepa tuu... Na hawafi wapo wanae joy tuu
Hii facial expression is like "unajidekeza nini si uamuke unywe jwisi"View attachment 3274064
Kweli tuna mkumbuka Magufuli kwa sababu ni binadamu.
Lakini huyu mama Magufuli alibebeshwa hata viroba vya mchanga Ikulu.
Haya yanayofanyika sasa hayaondoi uovu aliofanya yeye.Hakika mkuu, ndo mana sasa hv utekaji na uuaji umeisha, ht mzee kibao aliuawa na JPM 🔥
Upo sahihi Ila pia hauhusiki na yanayoendelea sasa hvHaya yanayofanyika sasa hayaondoi uovu aliofanya yeye.
Ni copy & paste ya alichokuwa anafanya.Upo sahihi Ila pia hauhusiki na yanayoendelea sasa hv
Hivi Bashungwa alisemaje??1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi).
2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi,
3. Kauli za kutisha wananchi wanaotaka kujua Hali ya mpendwa wao (Kauli ya Bashungwa),
**Kila nikikumbuka napata simanzi.
**RIP Shujaa
I like your provocation style...!!Ni copy & paste ya alichokuwa anafanya.
Hakuna tukio la kufikirisha hapo, hayo yote n matukio ya kawaida mno1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi).
2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi,
3. Kauli za kutisha wananchi wanaotaka kujua Hali ya mpendwa wao (Kauli ya Bashungwa),
**Kila nikikumbuka napata simanzi.
**RIP Shujaa
KifoHakika mkuu, ndo mana sasa hv utekaji na uuaji umeisha, ht mzee kibao aliuawa na JPM 🔥
Kifo ni kifo tu1. Ziara ya PM Njombe kukatishwa na Kauli Tata kumhusu JPM iliyotolewa Masjid (kuwa Mpendwa wetu yupo kazini anachapa kazi).
2. Ndege kadhaa za kijeshi kuonekana sana angani uelekeo Nairobi,
3. Kauli za kutisha wananchi wanaotaka kujua Hali ya mpendwa wao (Kauli ya Bashungwa),
**Kila nikikumbuka napata simanzi.
**RIP Shujaa
Nchi haikuwa na Rais kwa takribani siku 5
Kwa mujibu wa Everist Chahali, anadai Magufuli alifariki March 12, Mzena Hospital
View attachment 3272898