Matukio ya Wiki kabla ya msiba (10-16 Machi 2021) wa Magufuli yanafikirisha

☝🏿Wanafiki katika ubora wao.☝🏿

Tutaendelea kulinda kaburi lako CHATO na hata ikibidi, tutazikwa humo.💯

Mkuu, pumzika kwa amani huku ukijuwa kwamba mapambano yanaendelea na ikifika Oktoba, teyari tutakuwa tushachambua ngano na makapi yake.

R.I.P Mwamba. Hakika tutakuenzi, DAIMA

===========

Utata unaouzunguka kifo chake ni lazima uchunguzwe.

Chagua kwa Umakini 2025
 
Moja ya mambo ya hovyo Magufuli aliyotuachia na bunge la hovyo na siasa za uchawa.

Natambua juhudi zake za dhati katika kuleta maendeleo.
 
Hivi Bashungwa alisemaje??
 
Ni copy & paste ya alichokuwa anafanya.
I like your provocation style...!!

Kuna mwizi mmoja amekamatwa huko Kenya aliiba msalaba na spika kule kanisani. Wakati, anahojiwa na polisi alisema yeye aliiba spika na msalaba tu na hakuiba vitu hivyo kwa ajili ya kuviuza bali ilikuwa kwa ajili ya kuweka bond, ili akipata pesa atavirudisha alipovitoa.

Alipoulizwa, kuhusu wizi wa viti vya kanisa, alikataa kata kata kuwa aliiba viti hivyo, kwa sababu alienda kuiba kanisani peke yake, kwa hiyo kwa vyovyote vile kutakuwa na mwizi mwingine aliyehusika kuiba vile viti. Polisi waliishia kucheka tu lakini mwizi akiwa na pingu huku akiwaeleza amekunja nne.

Tindo umeona kazi yako, yaani umefanikiwa kuni provock vizuri sana... na haya ndiyo matunda. ha ha ha haaaa!
 
Hakuna tukio la kufikirisha hapo, hayo yote n matukio ya kawaida mno
 
Hakika mkuu, ndo mana sasa hv utekaji na uuaji umeisha, ht mzee kibao aliuawa na JPM 🔥
Kifo
Kifo ni kifo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…