LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Singida 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
1727383972737.jpeg
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000.

Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida Vijijini na Singida Mjini, Ikungi, Itigi na Mkalama.

SOMA PIA

Idadi ya Watu
Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Singida una jumla ya watu 2,008,058. Idadi hii inajumuisha wanaume na wanawake kwa uwiano ufuatao:

Wanaume 995,703
Wanawke 1,012,355

Mkoa wa Singida una jumla ya Wilaya 7. Majina ya Wilaya pamoja na idadi ya watu kwa jinsia
  1. Wilaya ya Singida (284,895) Wanaume- 141,962 Wanawake- 142,933
  2. Manyoni (279,069) Wanaume - 136,358 Wanawake -142,711
  3. Iramba(328,912) Wanaume-163,440 Wanawake-165,472
  4. Mkalama (255,514) Wanaume - 127,508 Wanawake - 128,006
  5. Ikungi(411,262) Wanaume - 205,429 Wanawake-205,833
  6. Itigi(215,947) Wanaume - 107,648 Wanawake -108,299
  7. Singida Manispaa( 232,459) Wanaume -113,358 wanawake- 119,101
1727708300423.png
Mchanganuo wa Idadi ya kata, Vijiji, Mitaa na Vitongoji Mkoani Singida
1 Manispaa ya Singida Kuna kata 18 Mitaa 53 Vijiji 19 Vitongoji 83

1 Wilaya ya Ikungi Kuna Kata 28 Vijiji 101 Vitongoji 539

2 Wilaya ya Iramba Kuna Kata 20 Vijiji 70 Vitongoji 393

3 Wilaya ya Itigi Kuna kata 13 Vijiji 39 Vitongoji 172

4 Wilaya ya Manyoni Kuna kata 19 Vijiji 58 Vitongoji 279

5 Wilaya ya Mkalama Kuna kata 17 Vijiji 70 Vitongoji 388

6 Wilaya ya Singida Kuna kata 21 Vijiji 84 Vitongoji 435

Jumla-Wilaya Kuna kata 118 Vijiji 422 Vitongoji 2,206

Mkoa wa Singida una jumla ya Kata 136 Mitaa 53 Vijiji 441 na Vitongoji 2,289

Kusoma Majina ya Vijiji, Mitaa, Kata na Vitongoji fungua kiungo hiki

Hali ya Kisiasa kufuatia uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 ilishinda nafasi nyingi za uongozi ndani ya Mkoa wa Singida katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019, CCM ilipata ushindi mkubwa, ambapo ilijinyakulia karibu asilimia 99 ya viti vya wenyeviti wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Katika maeneo mengi, wagombea wa CCM walipita bila kupingwa kutokana na vyama vya upinzani, kama CHADEMA, kujiondoa kwa sababu ya kile walichoeleza kuwa ni mazingira yasiyo ya haki kwenye mchakato wa uchaguzi na wengine kudaiwa hawakujaza vizuri fomu zo ivyo kujikuta fomu zao zikikataliwa.

Pia soma:
 
Wacha tuone wana Singida wataamua nini, ni CHADEMA au wengine?
 
Back
Top Bottom