Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida Vijijini na Singida Mjini, Ikungi, Itigi na Mkalama.
SOMA PIA
Idadi ya Watu
Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Singida una jumla ya watu 2,008,058. Idadi hii inajumuisha wanaume na wanawake kwa uwiano ufuatao:
Wanaume 995,703
Wanawke 1,012,355
Mkoa wa Singida una jumla ya Wilaya 7. Majina ya Wilaya pamoja na idadi ya watu kwa jinsia
- Wilaya ya Singida (284,895) Wanaume- 141,962 Wanawake- 142,933
- Manyoni (279,069) Wanaume - 136,358 Wanawake -142,711
- Iramba(328,912) Wanaume-163,440 Wanawake-165,472
- Mkalama (255,514) Wanaume - 127,508 Wanawake - 128,006
- Ikungi(411,262) Wanaume - 205,429 Wanawake-205,833
- Itigi(215,947) Wanaume - 107,648 Wanawake -108,299
- Singida Manispaa( 232,459) Wanaume -113,358 wanawake- 119,101
1 Manispaa ya Singida Kuna kata 18 Mitaa 53 Vijiji 19 Vitongoji 83
1 Wilaya ya Ikungi Kuna Kata 28 Vijiji 101 Vitongoji 539
2 Wilaya ya Iramba Kuna Kata 20 Vijiji 70 Vitongoji 393
3 Wilaya ya Itigi Kuna kata 13 Vijiji 39 Vitongoji 172
4 Wilaya ya Manyoni Kuna kata 19 Vijiji 58 Vitongoji 279
5 Wilaya ya Mkalama Kuna kata 17 Vijiji 70 Vitongoji 388
6 Wilaya ya Singida Kuna kata 21 Vijiji 84 Vitongoji 435
Jumla-Wilaya Kuna kata 118 Vijiji 422 Vitongoji 2,206
Mkoa wa Singida una jumla ya Kata 136 Mitaa 53 Vijiji 441 na Vitongoji 2,289
Kusoma Majina ya Vijiji, Mitaa, Kata na Vitongoji fungua kiungo hiki
Hali ya Kisiasa kufuatia uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 ilishinda nafasi nyingi za uongozi ndani ya Mkoa wa Singida katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019, CCM ilipata ushindi mkubwa, ambapo ilijinyakulia karibu asilimia 99 ya viti vya wenyeviti wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Katika maeneo mengi, wagombea wa CCM walipita bila kupingwa kutokana na vyama vya upinzani, kama CHADEMA, kujiondoa kwa sababu ya kile walichoeleza kuwa ni mazingira yasiyo ya haki kwenye mchakato wa uchaguzi na wengine kudaiwa hawakujaza vizuri fomu zo ivyo kujikuta fomu zao zikikataliwa.
Pia soma:
- LGE2024 - Singida: Tundu Lissu aboresha Taarifa zake kwenye Daftari la Mpiga kura
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
- TAMISEMI: Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka 2024 zitaanza tarehe 20 hadi 26, Novemba
- LGE2024 - CHADEMA Singida: Wasimamizi Wasaidizi wa uchaguzi ndio wamewawekea wagombea wa CHADEMA mapingamizi
- LGE2024 - Tundu Lissu: Kupata wagombea 380,000 Serikali za Mtaa ni changamoto kubwa
- LGE2024 - Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie