Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Kila mtaa?, wapi huko?. Kwa uzoefu wa 29 october nilijiridhisha kuwa askari ni wachache kudhibiti watu wengi. Vijana waliowaweka Bize kwa siku 3 hawakuwa wengi, ni vikundi vidogovidogo vya vijana wasiofika hata 50.. imagine kama watajitokeza wengi kwenye makundi ya 200-500 sehemu mbalimbali, obviously mtalemewa.
Anaye jitahidi kuepusha maandamanao kutokea yupo realistic zaidi ya yule canayelenga kupambana na waandamanaji.
Aya ya mwisho iko sahihi kabisa...

Ila MO 29 Iliwakuta by suprise hata robo ya askari hawakua active.... Mapunduzi ya JWTZ yalizimwa na kundi lingine kabisaa ambalo kimsingi linadharaulika sana ila lipo active sana when it comes to kulinda malaka na taasisi ya Urais na kimsingi ni jukumu lao. (Mada ya hili ipo siku itakua exposed)

Askari Wengi walikua vituo vya kupigia kura tena bila silaha na baada ya vurugu wengi hawakutoka walipokua na walivua nguo zao kabisa. Wapo walikua kwenye maandalizi ya mitihani na vituo muhimu hawa wasingeweza kwenda popote wakaacha lindo. Sections chache sana zilikua mtaani. Waliopiga tukio Mo29 kwa 70% sio askari polisi.

This time mnawakuta wakiwa full focused kila kipenyo mtawakuta kila kundi litakua contained mapema sanaa..

Mo29 mliwawahi kuchukua matukio this time dunia inaenda kujua upande wa pili wa maandamano wako full equiped kuchukua matukio yote ya kihalifu kuiambia dunia nini kinaendelea. Msishangae kuona clips za askari walioumia na kuuwawa zikiwa nyingi zaidi!!!! Na wanatamani sana mtoke

Mo29 ilitosha kuionesha dunia kinachoendelea mengine ni ziada tu na kutafuta kuharibu taswira na kilichoanzishwa.

Kwa JWTZ hakuna jaribio la mapinduzi linalofanyika mara mbili kwa kipindi kifupi... MO29 ilifeli kajipangeni upya mkubali aibu kama ilivyokua kwa Nyerere, jk, JPM na sasa Samia..

Kuna watu wakiamua hata muda huu wanaidondosha serikali na kuunda mpya ndani ya dakika kadhaa ila sio JWTZ wala wanaharakati mnaowategemea na sio maandamano kama mnavyotaka (hamjafanikiwa kuwapress vizuri tu) ni kundi dogo sana ila kiko kila mahali unapopajua ni muhimu kwa ajili ya mapinduzi.

Tchao.
 
Maandamano yatafanikiwa kumuondoa Rais Samia na kufanywa wauaji waajibishwe safari hii?

Siku yenyewe ndio imefika, ikiwa ni miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika, lakini upande mwingine tunasema bado hatujapata uhuru. Bado tumefungwa na minyororo ileile iloyotufunga wakati na wa ukoloni na sasa zaidi, Watanzania wenzetu ndio wamekuwa wamesi wetu.

Kwa upande mwingine hii inakuwa siku ya kwanza ya kupata 'uhuru wa kweli' kwa kuweka misingi ya Haki, Utawala wa Sheria na kutokomeza matukio yote ya utekaji, ukatili wa polisi na matukio mengine yanayokiuka haki za binadamu.

Wananchi wamepanga kufanikisha hilo kwa kufanya maandamano ya amani na kuhakikisha matakwa yao yote ikiwemo Rais Samia kujiuzulu yanafanikiwa.

Je, hilo litafanikiwa au kwa mara nyingine vyombo vya ulinzi vitamaliza Watanzania kwa risasi?

Wacha tuone hali itakavokuwa, ukipata update popote utakapokuwa umetoka weka hapa ili kila mtu ajue kinachotokea.
wavimba_20251206_072626_0000.png
 
Aya ya mwisho iko sahihi kabisa...

Ila MO 29 Iliwakuta by suprise hata robo ya askari hawakua active.... Mapunduzi ya JWTZ yalizimwa na kundi lingine kabisaa ambalo kimsingi linadharaulika sana ila lipo active sana when it comes to kulinda malaka na taasisi ya Urais na kimsingi ni jukumu lao. (Mada ya hili ipo siku itakua exposed)

Askari Wengi walikua vituo vya kupigia kura tena bila silaha na baada ya vurugu wengi hawakutoka walipokua na walivua nguo zao kabisa. Wapo walikua kwenye maandalizi ya mitihani na vituo muhimu hawa wasingeweza kwenda popote wakaacha lindo. Sections chache sana zilikua mtaani. Waliopiga tukio Mo29 kwa 70% sio askari polisi.

This time mnawakuta wakiwa full focused kila kipenyo mtawakuta kila kundi litakua contained mapema sanaa..

Mo29 mliwawahi kuchukua matukio this time dunia inaenda kujua upande wa pili wa maandamano wako full equiped kuchukua matukio yote ya kihalifu kuiambia dunia nini kinaendelea. Msishangae kuona clips za askari walioumia na kuuwawa zikiwa nyingi zaidi!!!! Na wanatamani sana mtoke

Mo29 ilitosha kuionesha dunia kinachoendelea mengine ni ziada tu na kutafuta kuharibu taswira na kilichoanzishwa.

Kwa JWTZ hakuna jaribio la mapinduzi linalofanyika mara mbili kwa kipindi kifupi... MO29 ilifeli kajipangeni upya mkubali aibu kama ilivyokua kwa Nyerere, jk, JPM na sasa Samia..

Kuna watu wakiamua hata muda huu wanaidondosha serikali na kuunda mpya ndani ya dakika kadhaa ila sio JWTZ wala wanaharakati mnaowategemea na sio maandamano kama mnavyotaka (hamjafanikiwa kuwapress vizuri tu) ni kundi dogo sana ila kiko kila mahali unapopajua ni muhimu kwa ajili ya mapinduzi.

Tchao.
Basi UVCCM umeona umeandika madini kweli hapana. 😂😂😂

Hakuna dola iliyowahi shinda nguvu za umma. Kimsingi hata kama vijana hawatatoka leo, wamefanikiwa kuwajambisha na kuwaandamanisha nyie manyangau wanywa damu.

Hadi sasa maandamano yamefanikiwa. Kuanzia Rais hadi mwenyekiti wa kitongoji kesha andamanishwa.
 
Aya ya mwisho iko sahihi kabisa...

Ila MO 29 Iliwakuta by suprise hata robo ya askari hawakua active.... Mapunduzi ya JWTZ yalizimwa na kundi lingine kabisaa ambalo kimsingi linadharaulika sana ila lipo active sana when it comes to kulinda malaka na taasisi ya Urais na kimsingi ni jukumu lao. (Mada ya hili ipo siku itakua exposed)

Askari Wengi walikua vituo vya kupigia kura tena bila silaha na baada ya vurugu wengi hawakutoka walipokua na walivua nguo zao kabisa. Wapo walikua kwenye maandalizi ya mitihani na vituo muhimu hawa wasingeweza kwenda popote wakaacha lindo. Sections chache sana zilikua mtaani. Waliopiga tukio Mo29 kwa 70% sio askari polisi.

This time mnawakuta wakiwa full focused kila kipenyo mtawakuta kila kundi litakua contained mapema sanaa..

Mo29 mliwawahi kuchukua matukio this time dunia inaenda kujua upande wa pili wa maandamano wako full equiped kuchukua matukio yote ya kihalifu kuiambia dunia nini kinaendelea. Msishangae kuona clips za askari walioumia na kuuwawa zikiwa nyingi zaidi!!!! Na wanatamani sana mtoke

Mo29 ilitosha kuionesha dunia kinachoendelea mengine ni ziada tu na kutafuta kuharibu taswira na kilichoanzishwa.

Kwa JWTZ hakuna jaribio la mapinduzi linalofanyika mara mbili kwa kipindi kifupi... MO29 ilifeli kajipangeni upya mkubali aibu kama ilivyokua kwa Nyerere, jk, JPM na sasa Samia..

Kuna watu wakiamua hata muda huu wanaidondosha serikali na kuunda mpya ndani ya dakika kadhaa ila sio JWTZ wala wanaharakati mnaowategemea na sio maandamano kama mnavyotaka (hamjafanikiwa kuwapress vizuri tu) ni kundi dogo sana ila kiko kila mahali unapopajua ni muhimu kwa ajili ya mapinduzi.

Tchao.
TF-K50
 
Kila mtaa?, wapi huko?. Kwa uzoefu wa 29 october nilijiridhisha kuwa askari ni wachache kudhibiti watu wengi. Vijana waliowaweka Bize kwa siku 3 hawakuwa wengi, ni vikundi vidogovidogo vya vijana wasiofika hata 50.. imagine kama watajitokeza wengi kwenye makundi ya 200-500 sehemu mbalimbali, obviously mtalemewa.
Anaye jitahidi kuepusha maandamanao kutokea yupo realistic zaidi ya yule canayelenga kupambana na waandamanaji.
siku ile kuna askari walidanganyika kuwa jeshi linapindua nchi kweli na wao wakawaachia wahuni, lakini bunduki 120 tu zinatliza dar nzima , tena 36 tu kwa kuanzia yaani vikuni 6 vya bunduki 6 acha kabisa mbaazi ikimpasukia kichwani rafiki yako hupati usingizi mwezi mzima
 
Mara paap Raisi wa muda apewa jukumu la kuwa raisi wa serikali ya mpito.

Na ifuatayo ni hotuba yake kwa Taifa la Tanganyika katika kusheherekea siku ya Uhuru ulopatikina tarehe 9 Disemba, 1961.

Ndugu wananchi,

Leo tupo katika njia panda. Tumejikuta tuna serikali ya mpito na kama serikali ya mpito, wajibu wetu si kukalia madaraka bali ni kuongoza utulivu, kurudisha imani, na kufanya maandalizi wa ajili ya uchaguzi ulo huru na haki. Utawala wangu utazingatia mambo makuu matatu: Usalama wa raia, uwazi na mapatano.

Pamoja, tutahakikisha kwamba kipindi hichi cha mpito kuelekea kupata serikali kamili ya kidemokrasia na inozingatia sheria na haki za binadamu na mwelekeo wa serikali hiyo utashabihiana na matarajio ya wananchi.

Hivyo basi narudia tena kusisitiza vipaumbele vya serikali hii ya mpito:

1. Usalama na Utulivu kuhakikisha kuna utulivu katika mitaa yetu na kila mwananchi yuko salama.

2. Uwazi na kuaminika kwamba shughuli za serikali na vyombo vyake vyote vitakuwa wazi kwa ajili ya wananchi kuanka uozo na kutowajika na pia imani kwa vyombo na taasisi za serikali vitarudishwa.

3. Maridhiano na umoja kwamba tutahakikisha serikali yawezesha kuponya, kuondoa migawanyiko khasa ya kidini,kusikiliza vilio na shida za wananchi na kuhakikisha jamii zote ambazo zajiona kubaguliwa au kutengwa zarudishiwa imani na serikali yao.

4. Kuwepo kwa uchaguzi huru na wa haki, kwamba serikali ya mpito itahakikisha kunakuwepo misingi mipya yaani katiba mpya ndani ya miezi 6 na baadae kufanyika uchaguzi mkuu ambao utatoa serikali halali ilochaguliwa na wananchi bila makandokando yoyote wala vitendo vya Rushwa na Ufisadi.

Mwisho, napenda kuwashukuru wananchi wote kwa kutumia muda wenu kunisikiliza na nawatakia mapumziko mema ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika.

Mungu Ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Zanzibar na Mungu Ibariki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ahsanteni Sana.
 
Back
Top Bottom