Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Wewe pimbi unavuta shuka tu na kusoma posts za uzi huu uone kavideo ka watu wanaandamana.Wewe ni mbwa wa bi Kizimkazi?
Na hao nao unaotaka kuwaona kwenye video, nao wako makwao wanasoma kama wewe
Wewe pimbi unavuta shuka tu na kusoma posts za uzi huu uone kavideo ka watu wanaandamana.Wewe ni mbwa wa bi Kizimkazi?
Hongera mwenzetu mwenye kula raha za dunia, mwenzio mie nasubiria chapati kwa mchuzi baadae pale Komakoma kama kifungua kinywa sijala leo siku ya pili.YAANI NIACHE RAHA ZA DUNIA NIKAANDAMANE?ACHENI UTANI KABISA.
Waliobaki wenye mkoa wao haya mambo si yao? Hao si ndio waliongoza harakati za kumtoa mkoloni japo wanasema historia imewaweka pembeni.Hiyo idadi watoke wapi wakati watu washakimbilia mkoani
Kundi la watu 500+ waliodhamiria, wanaweza kuwadhibiti wenye bunduki 6 na maiti zikiwa nyingi sana.siku ile kuna askari walidanganyika kuwa jeshi linapindua nchi kweli na wao wakawaachia wahuni, lakini bunduki 120 tu zinatliza dar nzima , tena 36 tu kwa kuanzia yaani vikuni 6 vya bunduki 6 acha kabisa mbaazi ikimpasukia kichwani rafiki yako hupati usingizi mwezi mzima
Mtaani kwetu hakuna ulinziKwa ulinzi uliopo mtaani hakuna wa kuandamana hapa natoka lindo kila mtaa ni ulinzi
Nchi nzima wamekesha bar?Wanakesha Bar hadi sa 2 asubuhi,
Wanasema kesho kuandamana kumbe ni leo toka sa saba usiku.
I dont understand this.
Its hovus brain
Ngoja nisome andiko lako Kwa kutulia huenda nikapata kitu kuhusu D9...Aya ya mwisho iko sahihi kabisa...
Ila MO 29 Iliwakuta by suprise hata robo ya askari hawakua active.... Mapunduzi ya JWTZ yalizimwa na kundi lingine kabisaa ambalo kimsingi linadharaulika sana ila lipo active sana when it comes to kulinda malaka na taasisi ya Urais na kimsingi ni jukumu lao. (Mada ya hili ipo siku itakua exposed)
Askari Wengi walikua vituo vya kupigia kura tena bila silaha na baada ya vurugu wengi hawakutoka walipokua na walivua nguo zao kabisa. Wapo walikua kwenye maandalizi ya mitihani na vituo muhimu hawa wasingeweza kwenda popote wakaacha lindo. Sections chache sana zilikua mtaani. Waliopiga tukio Mo29 kwa 70% sio askari polisi.
This time mnawakuta wakiwa full focused kila kipenyo mtawakuta kila kundi litakua contained mapema sanaa..
Mo29 mliwawahi kuchukua matukio this time dunia inaenda kujua upande wa pili wa maandamano wako full equiped kuchukua matukio yote ya kihalifu kuiambia dunia nini kinaendelea. Msishangae kuona clips za askari walioumia na kuuwawa zikiwa nyingi zaidi!!!! Na wanatamani sana mtoke
Mo29 ilitosha kuionesha dunia kinachoendelea mengine ni ziada tu na kutafuta kuharibu taswira na kilichoanzishwa.
Kwa JWTZ hakuna jaribio la mapinduzi linalofanyika mara mbili kwa kipindi kifupi... MO29 ilifeli kajipangeni upya mkubali aibu kama ilivyokua kwa Nyerere, jk, JPM na sasa Samia..
Kuna watu wakiamua hata muda huu wanaidondosha serikali na kuunda mpya ndani ya dakika kadhaa ila sio JWTZ wala wanaharakati mnaowategemea na sio maandamano kama mnavyotaka (hamjafanikiwa kuwapress vizuri tu) ni kundi dogo sana ila kiko kila mahali unapopajua ni muhimu kwa ajili ya mapinduzi.
Tchao.
Kumekucha we kaandamaneNchi nzima wamekesha bar?
Niko na mama yako nasubiri anipikie chaiKumekucha we kaandamane
Sahihi...!Hayo yatakuwa ni maandamano rafiki sana kwa Samia kuendeleza ulaghai wake.
Una raha gani wewe pimbiYAANI NIACHE RAHA ZA DUNIA NIKAANDAMANE?ACHENI UTANI KABISA.
Mashoga nao husemaga eti wanapata RahaUna raha gani wewe pimbi
Hamna noma Chai ya Mamaako alipika siku nyingi tu, imepoa kabisaNiko na mama yako nasubiri anipikie chai
Jamaa ana njaa sana kumbe 😂😂😂
Sina hakika na hili.
Samia Suluhu Hassan hawezi kuachia madaraka kwa sababu kuwepo kwa maandamano ya AMANI!
Hapana, hili haliwezekani.
Sana sana, ataacha maandamano yawepo na yahitimishwe kwa amani; watu waende nyumbani, na kesho yake ajitokeze na ulaghai ule ule wa "AMANI". Hali hiyo itampa fursa nzuri ya kuendelea kutawala; huku akiendeleza sarakasi zake za "maridhiano".
Hapo atakuwa amemaliza kazi kwa kuwasahaulisha waTanzania uovu mkubwa aliowafanyia katika miaka hii minne.
HAPANA. Maandamano hayaweze kuwa na lengo la AMANI bila ya Samia kuondoka madarakani.
Hiyo ndiyo 'bottom line'. ya maana ya
Yaani wapo wengi kichizi, awamu hii ya uyu mama, pesa zinaishia kwa watu…wamejazana umu jamii forum sio mchezo. Jukwaa limekuwa gumu sana kupata michango mingi iliyo objective.Uzi huu wamevamia machawa wakati hauwahusu.. Mtu anaacha kwenda kwenye nyuzi zao za Ccm anakuja huku kuleta shobo.