Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Yaani wapo wengi kichizi, awamu hii ya uyu mama, pesa zinaishia kwa watu…wamejazana umu jamii forum sio mchezo. Jukwaa limekuwa gumu sana kupata michango mingi iliyo objective.
Mkuu tusahau kupata maendeleo, just imagine kwenye huu uzi peke yake kwa haraka umechangiwa na chawa kama 10 hivi... Huu upumbavu hauvumiliki kabisa.
 
Aya ya mwisho iko sahihi kabisa...

Ila MO 29 Iliwakuta by suprise hata robo ya askari hawakua active.... Mapunduzi ya JWTZ yalizimwa na kundi lingine kabisaa ambalo kimsingi linadharaulika sana ila lipo active sana when it comes to kulinda malaka na taasisi ya Urais na kimsingi ni jukumu lao. (Mada ya hili ipo siku itakua exposed)

Askari Wengi walikua vituo vya kupigia kura tena bila silaha na baada ya vurugu wengi hawakutoka walipokua na walivua nguo zao kabisa. Wapo walikua kwenye maandalizi ya mitihani na vituo muhimu hawa wasingeweza kwenda popote wakaacha lindo. Sections chache sana zilikua mtaani. Waliopiga tukio Mo29 kwa 70% sio askari polisi.

This time mnawakuta wakiwa full focused kila kipenyo mtawakuta kila kundi litakua contained mapema sanaa..

Mo29 mliwawahi kuchukua matukio this time dunia inaenda kujua upande wa pili wa maandamano wako full equiped kuchukua matukio yote ya kihalifu kuiambia dunia nini kinaendelea. Msishangae kuona clips za askari walioumia na kuuwawa zikiwa nyingi zaidi!!!! Na wanatamani sana mtoke

Mo29 ilitosha kuionesha dunia kinachoendelea mengine ni ziada tu na kutafuta kuharibu taswira na kilichoanzishwa.

Kwa JWTZ hakuna jaribio la mapinduzi linalofanyika mara mbili kwa kipindi kifupi... MO29 ilifeli kajipangeni upya mkubali aibu kama ilivyokua kwa Nyerere, jk, JPM na sasa Samia..

Kuna watu wakiamua hata muda huu wanaidondosha serikali na kuunda mpya ndani ya dakika kadhaa ila sio JWTZ wala wanaharakati mnaowategemea na sio maandamano kama mnavyotaka (hamjafanikiwa kuwapress vizuri tu) ni kundi dogo sana ila kiko kila mahali unapopajua ni muhimu kwa ajili ya mapinduzi.

Tchao.
Ni kweli kabisa uliyoyasema,wao ndo watakuwa wapiga picha awamu hii ili wawe na ushahidi wao
 
Mwanza tayari uko
1765254516331.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: naa
Hivi ni kwanini mnapenda sana kuwaandama sana mashoga? Wamefanya nn? Kila baya ni wao? Hata kitowajibika kwa straight kwenye mambo ya msingi mnawahusisha wao? Kwanini??
Unaumia sana mashoga yakisemwa?

We ni top au bottom?
 
Back
Top Bottom