Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Kwani mashoga ni nani si binadamu km straight tyuh? Kutofautiana muelekeo wa kingono ndo iwe tatizo?

Km mambo yenyewe ndo hayo, kujifanya nyie straight ni superior sana.

Bas leo Polisi na JW wawanyuke zaidi ya mo29.
Mxxxxxxxxiiiiiiieeeeew
Ujajibu swali langu.

We ni top au bottom?
 
Anza wewee
Mtazamo wangu wanashambuliwa kwasababu ya kimaadili ambayo hayajazoeleka kwa TZ.

Kwa TZ Serikali kwa ndani hawajahalalisha Ushoga(Nchini) ila Globally inakubali kimya kimya.

Nadhani serikali ikukubali nchini watakuwa hawashambuliwi.
 
KWA WALE WA KAHAMA

KUNA KAMATA KAMATA YA BODABODA AU YEYOTE ALIYE MAENEO YA VIJIWE VYA BODABODA

HAWA WATU WAMECHANGANYIKIWA NA DESEMBA 09 NA WANAFANYA VITUKO

HABARI NJEMA: TANZANIA MPYA IMESHAKUJA NA HAKUNA WA KUIZUIA KWA NAMNA YOYOTE ILE

Teh teh teh

Mbona mmeanza kulia mapema sana chadema na TEC??

Tutawashikisha adabu safari hii
 
Kwani mashoga ni nani si binadamu km straight tyuh? Kutofautiana muelekeo wa kingono ndo iwe tatizo?

Km mambo yenyewe ndo hayo, kujifanya nyie straight ni superior sana.

Bas leo Polisi na JW wawanyuke zaidi ya mo29.
Mxxxxxxxxiiiiiiieeeeew
Leo unaungana na polisi ?
 
Wakubwa wa dunia wameelekeza military high resolution satellites kuungaza Tanzania. BIG BROTHER IS WATCHING YOU NOW.


Satelite ipo muda wote haina haja ya kuelekezwa somewhere

Na vibaka mkija tena road kuiba km last time tunachana hizo clean sheet zenu
 
Back
Top Bottom