King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Wapo mashoga Tar 29 walitoka na walinusurika risasi, na toka pale wakawa active na tukio la leo, na walijipanga kutoka,
Kumbe mambo enyewe ndo haya, bas wamewaachia straight, wanaoweza kuvunja mawe, ila tusione maiti kwa road.
Maana uwezo si wanao wa mapambano
Tchao.
Serikali ishashindwa mapema ,kitendo cha kuzuia watu wasitoke wakae ndani maana yake wamefeli ,vikwazo njiani kibao ,ukaguzi kila pahala kuona kama umebeba zana! Gari hakuna kuingia town!