nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 753
- 1,030
Huku kwetu hata mbwa siwaoni road, maandamano yawe ni ya amani wazee isitokee tukapoteza vijana Tena. Mungu ibariki tz. Wahuni ndo wanatumika kuharibu. Chadema n Tek wakae mbali.
Bila shaka TEC ndio waliombaka mamaako ndo ukazaliwa wewe ***** chokoletiNa Jamaa zao TEC
Wanasubiri tuwamwage mavi vijana wao waliowatuma waandike waraka zao
Kabisaaa, tena wawabaruze hawa wanaoandamana, shaba 1 ya kichwaa chaliiiii.Leo unaungana na polisi ?
Sipo town mkuu ,nipo porini nachoma mkaa ,nilishasema siandamani bali natoa ushauri tu.Nasemaje?toka kwenye keyboard njoo barabarani tuvunje hiyo clean sheet
Sasa kuhusu tukio la Leo inahusu nn na ushoga? Hao straight wasio wajibika kwanini wasihusishwe na kingine why ushoga tyuuh?Mtazamo wangu wanashambuliwa kwasababu ya kimaadili ambayo hayajazoeleka kwa TZ.
Kwa TZ Serikali kwa ndani hawajahalalisha Ushoga(Nchini) ila Globally inakubali kimya kimya.
Nadhani serikali ikukubali nchini watakuwa hawashambuliwi.
Bila kujali wanachofanya lakini kiasi Fulani inasaodia serikali kujirekebisha unajua serikali ilikuwa ina ujeuri Fulani wa kutowajibika kwenye Mambo ya msingi ila tangu mmaandamano yatokee wamekuwa kidogo na heshima kwa raia angalia hata tamko la Simbachawene kuhusu Polisi wanavaa nguo za raia kumkamata watu na mengine kwahiyo mwamba usibeze kila kitu huwa inatokea kinasababuHakuna nguvu ya Umma yoyoye, kuna baadhi ya watu mnaongea kwa ujumla utafikiri nyie ndo wawakilishi wa umma.
Ukiangalia humu JF wengi mnaohamasisha vurugu ni Pro Chadema, Mshana, Mzee Mwanakijiji, Sexless, Salary Slip n.k. Mmepambana miaka mingi kupitia vyama vyenu mkashindwa kuiondoa Serikali, sasa mnakuja kwa mgongo wa Vijana wakati wote mnaohamasisha maandamano ni wazee.
Acheni kucheza na uhai wa watu familia zenu zitalipa. Hakuna shortcut ya kupata madaraka.
Polisi wameandamana kila mtaa tunashindwa kwenda kufanya shughuri zetuHamna sisimizi ataandamana
hiyo mimba ya chadema bado hujazaa tu mpaka leoChadema wamejificha mivunguni mida hii mkuu
Familia zao zinamimina risasi mbona unakuaa bwege hivoHakuna nguvu ya Umma yoyoye, kuna baadhi ya watu mnaongea kwa ujumla utafikiri nyie ndo wawakilishi wa umma.
Ukiangalia humu JF wengi mnaohamasisha vurugu ni Pro Chadema, Mshana, Mzee Mwanakijiji, Sexless, Salary Slip n.k. Mmepambana miaka mingi kupitia vyama vyenu mkashindwa kuiondoa Serikali, sasa mnakuja kwa mgongo wa Vijana wakati wote mnaohamasisha maandamano ni wazee.
Acheni kucheza na uhai wa watu familia zenu zitalipa. Hakuna shortcut ya kupata madaraka.
Wewe wakati unazuia gesi isitoke mtwara uliandamana wapi? Facebbok au Instagram? Mbona gesi ilitoka na watu wanaendelea kuitumia?Wanaandama JF na Tiktok mafala kweli hawa
Hivi huoni ushoga ni laana kwanini usiache? Mungu kakupa mtulinga kwaajili ya kufanya na mwanamke sio kugeuzwa na mwanaume mwenzakoSasa kuhusu tukio la Leo inahusu nn na ushoga? Hao straight wasio wajibika kwanini wasihusishwe na kingine why ushoga tyuuh?
Inakera sanaa.
😃😃😃😃😃😃 police mwaka huu wamefanya kaziinipo ,wemge hapa hakuna watu kabisa. polisi wapo pale nao naona wamechoka. Mukiwa munatangaza maandamano hivi kila mwezi polisi wakijaa mtaani hivi itapendeza sana yaani mitaa itatulia kweli kweli.
Sasa kuhusu tukio la Leo inahusu nn na ushoga? Hao straight wasio wajibika kwanini wasihusishwe na kingine why ushoga tyuuh?
Inakera sanaa.
Laana kwa kipi? Em fafanua?? Kwani zamani Sodoma na gomora Mungu hakuwepo? Au hiyo mitulinga hakuwapa hao waja??Hivi huoni ushoga ni laana kwanini usiache? Mungu kakupa mtulinga kwaajili ya kufanya na mwanamke sio kugeuzwa na mwanaume mwenzako
Wapo mashoga Tar 29 walitoka na walinusurika risasi, na toka pale wakawa active na tukio la leo, na walijipanga kutoka,Mashoga si wanashindwa hata kuvunja biscuit ndiyo maana wanahusishwa na tukio la leo kwamba hawana uthubutu wala nguvu za kupambana ,wao wanachowaza kuzibuliwa chemba.
Mbona kama imekuuma sana. Kwani na wewe ni mmoja wao hao mashoga?Hivi ni kwanini mnapenda sana kuwaandama sana mashoga? Wamefanya nn? Kila baya ni wao? Hata kitowajibika kwa straight kwenye mambo ya msingi mnawahusisha wao? Kwanini??