Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Ukiona bado Unaingia Mtandaoni, Ujue hakuna sehemu kimewaka.

Kukichangamka hata Sehemu moja tu, ndo basi tena kukaa online
 
Leo wamekuwa waoga sana hata mitandao iko free kweli wameshikwa pabaya. Mtaani kunaanza kuchangamka tayari

Msije mkasema tumewazimia data,uwanja wenu huu tupeni matukio na direction tuone

Safari hii hatucheki na kima,kabla ya yote tukiwadaka ni kuwagonga nyuma kwanza
 
Leo wamekuwa waoga sana hata mitandao iko free kweli wameshikwa pabaya. Mtaani kunaanza kuchangamka tayari
Ukiona hivyo ujue bado hakijawaka sehemu yeyote maana hata mo29 mtandao ulizimwa saa 5 kabisa baada ya mambo kuchacha.
 
Wewe pimbi unavuta shuka tu na kusoma posts za uzi huu uone kavideo ka watu wanaandamana.

Na hao nao unaotaka kuwaona kwenye video, nao wako makwao wanasoma kama wewe
Twende taratibu jomba, hebu jibu swali langu kwanza kisha uongezee maoni yako...

Jibu NDIYO au HAPANA
 
Jinga hilo ,lilipambana kwenye keyboard kuzuia gesi isitoke mtwara likashindwa ,sasa limeona bora liungane na WAHUNI kuhondomola nchi.

Tuliiwaambia nyinyi mafala ni mchicha mwiba tuh,mnatoa vitisho kwenye keyboard fanyeni mje site tuchane marinda hayo
 
Back
Top Bottom