Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Laana kwa kipi? Em fafanua?? Kwani zamani Sodoma na gomora Mungu hakuwepo? Au hiyo mitulinga hakuwapa hao waja??
Laana ni kwasababu unatumia jinsia yako vibaya kinyume na maandiko ya biblia na uadilifu wa nchi hata hiyo sodoma na gomora ilikuwepo lakini Mungu alitoa adhabu ya moja kwa moja Nina kushauri kwa Nia njema hiyo michezo acha kabisa wewe si umeona mwenzako Agrey yule shoga wa wema ameamua aache ushoga aishi maisha yake Kama mwanaume halisi umeona Sasa anaishi maisha ya amani kuliko hayo maisha uliochagua unatengwa, unabaguliwa ni kwasababu ya ushoga ukiamua kuacha na kumrudia Mungu utaishi maisha ya amani na furaha kabisa
 
Kila mtaa?, wapi huko?. Kwa uzoefu wa 29 october nilijiridhisha kuwa askari ni wachache kudhibiti watu wengi. Vijana waliowaweka Bize kwa siku 3 hawakuwa wengi, ni vikundi vidogovidogo vya vijana wasiofika hata 50.. imagine kama watajitokeza wengi kwenye makundi ya 200-500 sehemu mbalimbali, obviously mtalemewa.
Anaye jitahidi kuepusha maandamanao kutokea yupo realistic zaidi ya yule canayelenga kupambana na waandamanaji.
Upo sahihi kabisa. Kwananza wakati huu askari wameamua kubeba risk kubwa, kukaa mmoja mmoja ama wawili tu baadhi ya sehemu. Yote nikutaka waonekane wapk wengi
 
Laana ni kwasababu unatumia jinsia yako vibaya kinyume na maandiko ya biblia na uadilifu wa nchi hata hiyo sodoma na gomora ilikuwepo lakini Mungu alitoa adhabu ya moja kwa moja Nina kushauri kwa Nia njema hiyo michezo acha kabisa wewe si umeona mwenzako Agrey yule shoga wa wema ameamua aache ushoga aishi maisha yake Kama mwanaume halisi umeona Sasa anaishi maisha ya amani kuliko hayo maisha uliochagua unatengwa, unabaguliwa ni kwasababu ya ushoga ukiamua kuacha na kumrudia Mungu utaishi maisha ya amani na furaha kabisa
Laana ni kwa kuwa biblia imekataza? Maana yake wanao amini kupitia hiyo biblia ndio wako na laana, vipi wasioamini? Mungu?? Una uhakika yupoo? Je wasio amini ktk Mungu, maana wao hawana hiyo laana? Uadilifu wa nchi? Ipii? Upi? Em fafanua kwani.

Aggrey sio mfano au role model wa maisha ya mwingine, labda kwako wee.

Em njoo na hoja ingine, hii hapanaa si afiki.
 
kumbe mkuu na wewe unalijua hilo lijamaa kuwa ni *****, wengi jf hawalijui na jns linavyoandka unaweza sema ni kademu fulan hivi kumbe ni ***** tu uyo ni shoga kbs wala si kashfa kazaliwa mwanaume ye kaamua kujfanya demu.
Wee ukajua mie ni *****, ila umma wa Jf Usijue??
😂😂😂😂😂 mnachekeshaaa.
 
We mwenyewe ndio kwanza uko kwa shemeji yako unangoja chai na vitumbua 3, unategemea nani akianzishe?

Vijana tunahitaji maendeleo sio maandamano.
Hapa tulipo tunahimizana tutoke, kila mtu anataka kutoka lakini lazima tutoke kwa mipango. 3 na nusu natoka napita kuelekea buguruni nitoe muongozo kumekaaje.
 
Kwa kifupi kuna watu hawajui wanachokitaka, kile wanachokililia leo kikiwepo wanaona hakina maana kikipotea wanajidai kukupambania. Mbaya zaidi kuna watu wanaficha mahitaji yao binafsi nyuma ya watu wenye shida, badala ya kuwawezesha shida ziishe wanatumia shida kutimiza matakwa yao binafsi halafu wanaita nguvu ya umma.
Watu wanataka kuona uwajibikaji wa Serikali, Mambo mengi yametokea watu wengi wametekwa na Kuna wengine wameuwawa lakini usikii serikali ikikemea matendo hayo, watu wanafanya ufisadi wa waziwazi uisikii serikali ikipinga, vitu Kama hivi ndio uchochea hasira za watu kwa Serikali yao
 
Back
Top Bottom