Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,436
- 1,769
Kuna video nimeiona vijana wameanza kutoka!!
Duh imekuaje ghafla hivi?Ndo utokee sasa road, kelele za nini hapa?
Uone unavowahishwaa kuzimu, dadekiiii.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nalikumbuka sana na harakati zake za kuzuia gesi isitoke lakini LILISHINDWA...Ni jitu la KUFELI tu.Kumbe unamkumbuka, aliibukia hapa JF kwenye ishu ya gesi ya Mtwara.
Waulize hao wenzio, wanaojiona wao ndio bora sana.Duh imekuaje ghafla hivi?
Umefurahiiii.😂😂😂😂😂😂 mbna wewoooooooo!!!
😂😂😂😂😂 nyie waja leo mmeniudhii, acha niwape mnavyostahili tyuuh.Umefurahiiii.
Vitu vyako hivyo unavyopenda.
Akina nani?Kuna Misiba 2 ya watu wakubwa kwenye Taifa
Weka , wapi hiyo ?Kuna video nimeiona vijana wameanza kutoka!!
Naanzaje kutokutoka kwa mfano.😂😂😂😂😂 nyie waja leo mmeniudhii, acha niwape mnavyostahili tyuuh.
Wee hutokiiii? 😂😂😂😂
Thubutuuuuuuu!!! 😂😂😂😂😂Naanzaje kutokutoka kwa mfano.
Nipo site tunategea muda tu.
ViongoziAkina nani?
Wa dini au wa serikali?Viongozi
Uamini eeh?Thubutuuuuuuu!!! 😂😂😂😂😂
SerikalWa dini au wa serikali?
ThubutuuuuuUamini eeh?
Wewe tuombee tu rijali wako tukikinukisha tusiuliwe na policcm.Thubutuuuuu
Nasubiri kwa hamu na gamu 😎.Serikal
Muda utaongea tu