adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Wapi Jf au ?Hapa nilipo
Wapi Jf au ?Hapa nilipo
Redcross muulize October 2pmHabil yuko wapi?
Internet ya bure iko wapi?
Red Cross wako wapi?
Agustino Polepole yuko wapi?
NATO wako wapi?
Me ndomana nimeamua tu kumsubiri YESU.
International Red Cross bwana wa kutoa huduma ya kwanza tuliambiwa watakuwepo, sio hao wahuniRedcross muulize October 2pm
Ya za Mani hii
Acha kumaliza MB za watu kwa hizi video zilizopitwa na wakati!
Hii ya lini kwani
Waambie hao wenzako sita muende shambani sasaAisee mbona wanaTarime hamonekani road? yaani tuko hapa na wenzangu 6 tumeficha mapanga na mishale kwenye maua ya shule ili watu wakiwa wengi road sisi tukalipe kisasi lakini mpaka sasa hivi hatuoni mtu! polisccm wanapita wanatuchora na kutunyooshea vidole tu! aisee wanaTarime acheni hizo!
Watu wenye dhiki na fukara huwezi kumtenganisha na matusiNina Raha ya kumshughulikia mama yako.Nampelekea moto
Sababu yakutokea maandamano ya October 29 ni kwasababu ya serikali kutowajibika kwa raia, serikali ingekuwa unajua wajibu wake maandamano ya October 29 yasingekuwepoUtaona uwajibikaji wa Serikali kwa kufanya fujo na kuharibu mali za watu? Utaona uwajibikaji wa Serikali kwa kukata watu vidole kisa wamepiga kura?
Nioneshe nchi ambayo uwajibikaji wa Serikali unatafutwa kwa kuchoma mali za Serikali na imefanikiwa kupata huo uwajibikaji na maendeleo?
Twende sehemu tukale mtori Dunia ilivyonzuri unashawishika vipi kuandamanaNenda msitari wa mbele,siyo kuchapa mitandaoni tu
Hata nikiwa chizi siwezi kuandamana sababu ya Mange.
Ni Nani hao?Kuna Misiba 2 ya watu wakubwa kwenye Taifa
Nasikia Samuya anaumwa sana.MOYO UNANIUMA KUTOKUWEPO BARABARANI. THE PAIN IS REAL. 💔💔