Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Binafsi sidhani kama tunaweza kumtoa mtawala yeyote kwa kile kinachoitwa maandamano ya amani, kama tunataka serikali mpya ni lazima maandamano yaongezewe intensity yaani kiufupi lazima kiumane kisawasawa na sio maandamano ya amani kama tunavyoyaita
 
ACHA
Aya ya mwisho iko sahihi kabisa...

Ila MO 29 Iliwakuta by suprise hata robo ya askari hawakua active.... Mapunduzi ya JWTZ yalizimwa na kundi lingine kabisaa ambalo kimsingi linadharaulika sana ila lipo active sana when it comes to kulinda malaka na taasisi ya Urais na kimsingi ni jukumu lao. (Mada ya hili ipo siku itakua exposed)

Askari Wengi walikua vituo vya kupigia kura tena bila silaha na baada ya vurugu wengi hawakutoka walipokua na walivua nguo zao kabisa. Wapo walikua kwenye maandalizi ya mitihani na vituo muhimu hawa wasingeweza kwenda popote wakaacha lindo. Sections chache sana zilikua mtaani. Waliopiga tukio Mo29 kwa 70% sio askari polisi.

This time mnawakuta wakiwa full focused kila kipenyo mtawakuta kila kundi litakua contained mapema sanaa..

Mo29 mliwawahi kuchukua matukio this time dunia inaenda kujua upande wa pili wa maandamano wako full equiped kuchukua matukio yote ya kihalifu kuiambia dunia nini kinaendelea. Msishangae kuona clips za askari walioumia na kuuwawa zikiwa nyingi zaidi!!!! Na wanatamani sana mtoke

Mo29 ilitosha kuionesha dunia kinachoendelea mengine ni ziada tu na kutafuta kuharibu taswira na kilichoanzishwa.

Kwa JWTZ hakuna jaribio la mapinduzi linalofanyika mara mbili kwa kipindi kifupi... MO29 ilifeli kajipangeni upya mkubali aibu kama ilivyokua kwa Nyerere, jk, JPM na sasa Samia..

Kuna watu wakiamua hata muda huu wanaidondosha serikali na kuunda mpya ndani ya dakika kadhaa ila sio JWTZ wala wanaharakati mnaowategemea na sio maandamano kama mnavyotaka (hamjafanikiwa kuwapress vizuri tu) ni kundi dogo sana ila kiko kila mahali unapopajua ni muhimu kwa ajili ya mapinduzi.

Tchao.
Urongo
 
Hata MO29 muda kama huu mlikuwa mnabeza hivyo hivyo. Haiishi mpk iishe.
Vipi unaanzia wapi kuandamana maana saa hizi ni saa 09:25 am

Ila 29/10 yale hayakuwa maandamano bali uharibifu wa mali ya umma na wizi wa mali za watu binafsi
 
Yaani wapo wengi kichizi, awamu hii ya uyu mama, pesa zinaishia kwa watu…wamejazana umu jamii forum sio mchezo. Jukwaa limekuwa gumu sana kupata michango mingi iliyo objective.
Kipindi fulani walipotea na kujificha.
 
Ndo utokee sasa road, kelele za nini hapa?
Uone unavowahishwaa kuzimu, dadekiiii.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuhusu kuingia barabarani hilo jambo lipo juu ya uweZo wako wa akili, hii mbinu ya barabarani Sasa isahau
Kikubwa laZima ukombozi uje
 
Toka lini shoga likawa na akili.
Kuhusu kuingia barabarani hilo jambo lipo juu ya uweZo wako wa akili, hii mbinu ya barabarani Sasa isahau
Kikubwa laZima ukombozi uje
Tulia bwabwa wewe
Straight uchwara wana akili zaidi ya kuwaza ngono? Mngekua na akili si mngeshafanya maamuzi ya kuikomboa nchi zamani.
Lakini mko hapo kubwataa kwa keyboard tyuuh.

Mna mbinu gani nyingine ya kutaka kuikomboa nchi hii zaidi ya hayo maandamano na mmepigwa pin, na mmeufyataaa!!

Si mlisema leo mnakiwashaa barabarani, ndo mtoke sasa, mkaoneshwe kwa vitendo na uwazi namna kazi ya Israel mtoa roho inafanywa na binadamu wa kawaida.

Wee ndo kabisa huna uwezo wa kunifikia kiakili, Ki elimu na hata ki maisha. Pumbavuu wee.

Tokaa road acha uoga straight uchwaraaaa.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom