Hawatoshi kabisa, hapa DSM tu wakitoka hata watu laki moja tu askari watalemewa. Wafocus kwenye kuzuia watu wasitoke, japo si kwa ulaghai.Upo sahihi kabisa. Kwananza wakati huu askari wameamua kubeba risk kubwa, kukaa mmoja mmoja ama wawili tu baadhi ya sehemu. Yote nikutaka waonekane wapk wengi