Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Hakuna nchi ambayo uwajibikaji unapiwa katika hayo uliyoyataja ukiacha la uchaguzi wa magumashi. Hauwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki katika nchi maskini ambayo siasa ni ajira na siyo kazi ya kutumikia wananchi.

Hayo yote uliyoyataja chanzo chake ni siasa za hovyo tulizonazo. Ndo maana kwa Tanzania hakuna chama ambacho kiko sawa wote wapo kimaslahi tu.
Siasa kufanywa ajira ni kitu tunacho wenza ku undo, hakikuwepo kimetengenezwa.
Nakataa kuwa uchaguzi huru na umaskini haiendani, hili linawezekana kabisa. Ni uamuzi tu.
Hizo siasa za hovyo ndio tunataka zikome, turudi kwenye mstari.
Haiwezekani, kodi nikulipe alafu jioni uje uniteke na kuniua!, kisa nimetofautiana nawe kimawazo.
Kumbuka hatukuwa hivi......
 
Wakuu hadi muda huu sijamwona Lema akiwa amejitokeza.Imekuwaje tena?

Tanzania Kwanza.
 
Juhudi kubwa za polisi zinafanywa kuzuia mikusanyiko ya amani kinyume cha sheria, hata hivyo bado tunaendelea kujikusanya hatuna haraka wata ondoka.

Upatikanaji wa taarifa pia umebinywa kinyume cha sheria hakuna upatikanaji mzuri wa taarifa kwa usahihi
 
Back
Top Bottom