Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Imefika muda tumeheshimiana hadi dk hii sijasijikia mlio wa bunduki wala bomu ka machozi

Hii inamaanisha hakuna mnyonge
Time for timing
Serkla iombe watu watoke waandamane maana wataulizwa walio wauwa mo29 ni wakina nani
 
Hawatoshi kabisa, hapa DSM tu wakitoka hata watu laki moja tu askari watalemewa. Wafocus kwenye kuzuia watu wasitoke, japo si kwa ulaghai.
askari 20 tu wanatosha kuwatoa kinyesi waandamanaji 1,000,000 ukishawamwaga ubongo watu 10 mpaka 30 humuoni tena mtu barabarani , nani hajipendi , mbona juzi October baada ya kupapaswa papaswa kidogo tu na vi mbaaazi kilio kikaaanza kote mpaka leo , ohhh nguvu kubwa ilitumika eneheeee enheeeee yaani vibaka wale wachache tu kupasuliwa vichwa ndo imekuwa kelele hivyo? Leo naona adabu tele kila mahali
 
leo hao policcm ndo waandamanaji..mda huu wanaiva na jua tu na yale mahelmet yao

kakojoe ukalale...
 
AHAAA AHAAAA WATATHUBUTU TENA WAMESHAJUA MBAAZI INAPASUAJE KICHWA , zamani walikuwa anaona kwenye play station tu , juzi wameona live vijana 6 tu wenye morali ya kazi walikalisha makalio ya mbwa majambazi wa kisingizio cha maandaano zaidi ya elfu 50 dar
Wale jamaa sita hatari aisee,naamini wapo sehemu wametulia wanatamani nyumbu watoke
 
askari 20 tu wanatosha kuwatoa kinyesi waandamanaji 1,000,000 ukishawamwaga ubongo watu 10 mpaka 30 humuoni tena mtu barabarani , nani hajipendi , mbona juzi October baada ya kupapaswa papaswa kidogo tu na vi mbaaazi kilio kikaaanza kote mpaka leo , ohhh nguvu kubwa ilitumika eneheeee enheeeee yaani vibaka wale wachache tu kupasuliwa vichwa ndo imekuwa kelele hivyo? Leo naona adabu tele kila mahali
Sahihi, lakini kwa watu walio determined na hasa likiwa kundi lililonyanyuka kwa pamoja wanaweza wasifike.
29 october, kuna askari wameshauriwa wakibadili magazine, wakiwa njiani kufuata risasi na vilikuwa vikundi vya watu wachache.
 
Haya maandamano yatapata nguvu zaidi na uungwaji mkono na raia ikiwa waandamanaji watakuwa wakituma video za matukio.

Watu wengi wataweza kuwa inspired na kuamua kutoka kuongeza nguvu.
Wakati unaandika huu utumbo ungeanza wewe kuonyesha mfano.
Toka uone.
Wezi wakubwa nyie.

Leo tupo wenyewe mitaani.
Hapa ni kobazi za makalio mpk mseme pooo
 
Wezi wa nini?

Mbona unanifananisha kwa kuniweka kwenye kundi la watu ambao sihusiki nao?

Mimi sio mbunge, diwani wala raisi. Sasa nahusikaje kwenye tuhuma za wizi?

Ningekuwa na cheo kimoja wapo kati ya hivyo at least ungekuwa sahihi kuniita mwizi.

Kwasababu wenye vyeo hivyo ni certified kwa kujulikana kama wezi wa kura.
 
Back
Top Bottom