Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Hongereni wachache mliotoka, nyinyi ni watu na nusu. :BillyApprove: :BillyApprove: :BillyApprove: :BillyApprove: :BillyApprove:

BWANA
awabariki sana na awarudishe nyumbani salama, including Montana The Drama Boy wa Tiktok na wengine wowote ambao hatujasikia habari zao.

Napendekeza tumsubiri YESU arudi maana si muda mrefu guys, I promise. Guys. Guys.

Kama kanisa lako linahubiri Tanzania mpya badala ya Dhiki Kuu inayokuja na Ujio wa Pili wa YESU, then truly truly re consider that church.

Happy New Years in advance.
 
Wezi wa nini?

Mbona unanifananisha kwa kuniweka kwenye kundi la watu ambao sihusiki nao?

Mimi sio mbunge, diwani wala raisi. Sasa nahusikaje kwenye tuhuma za wizi?

Ningekuwa na cheo kimoja wapo kati ya hivyo at least ungekuwa sahihi kuniita mwizi.

Kwasababu wenye vyeo hivyo ni certified kwa kujulikana kama wezi wa kura.
Hao tunawaita mafisadi.
Manake fisadi ni mbaya kuliko mwizi.
Lkn wale waliondamana na wanaotaka kuandamana wengi ni Wezi.
Tumeona wenyewe walichofanya 29 oct.
Leo wakitoa pua tu wanakula shaba.
 
Maandamano ya AMANI, bila ya shinikizo la Samia na Genge lake kuondoka, hayatakuwa na maana yoyote.

Hayo yatakuwa ni maandamano rafiki sana kwa Samia kuendeleza ulaghai wake.
kwahio mmetusogezea siku tena?
 
Hao tunawaita mafisadi.
Manake fisadi ni mbaya kuliko mwizi.
Lkn wale waliondamana na wanaotaka kuandamana wengi ni Wezi.
Tumeona wenyewe walichofanya 29 oct.
Leo wakitoa pua tu wanakula shaba.
Kabla ya tarehe 29 Kanisa la Gwajima lilikuwa chini ya ulinzi wa polisi.

Baada ya kufunguliwa imekuja kuonekana kuwa mali za Kanisa zimeibiwa.

Ukiwa mjinga au Chawa unaweza ku pretend kuwa hujui nani aliyeiba.

Na kama kweli serikali inataka kujitenga na hili tukio kuwa haihusiki tungeona hatua za uwajibikaji zikichukuliwa kwa waliohusika.

Again, ukiwa mjinga na chawa huwezi kuona mantiki ya serikali kufanya hivyo hususan katika matukio mengi maovu ambayo yanaripotiwa kufanywa na polisi ambapo imani ya raia kwa polisi inazidi kushuka.
 
Sasa wewe kwa akili yako lini MSUKUMA akaweka mali za kuibiwa zenye thamani ya bilion 2 kanisani?
Hivi nyie viumbe mlizaliwa na utandaubongo au?
Kanisani kuna nini zaidi ya mabenchi na speaker na mic?
Mabenchi ya mbao uibe upeleke wapi?

We unaamini kabisa kuwa NGOSHA kaweka Mali za BILIONI 2 KWENYE KANISA!!
Basi we ndio ovyo kabisa
Kuliko hata huyo tapeli wa kisukuma
 
Huku Jf wengi ni Keyboard warriors ,walikuwa wanasubiri wenzao watoke ila wenyewe wamejifumgia chini ya kitandaa!!
Sasa kwanzia Leo yoyote atakaye leta habari za Maandamano Mods fanyeni kazi yenu wablock kabisaa hao vibaka..!!!
 
Maandamano ya AMANI, bila ya shinikizo la Samia na Genge lake kuondoka, hayatakuwa na maana yoyote.

Hayo yatakuwa ni maandamano rafiki sana kwa Samia kuendeleza ulaghai wake.
Basi zile kelele za jana na ahadi za kuandamana ulizotoa nikadhani japo utajaribu.
Kumbe toka asubuhi umo humu unarusha mipasho tu. Wewe ni km yule pashkuna Mange kimavi.
Kazi kuchochea unafiki nyuma ya keyboard kisha mnajificha nyuma ya wake zenu.
Nyie ni wasaliti wakubwa.
Na mkipatikana lzm tuwashughulikie.

Wewe kaa mkao wa kula.
Tutakukamata tu.
Hii sio serikali ya mapuuzi.
Na siku ukidakwa utakojolea chupa.
 
Waambie hao vibaka wanafikiri serikali ni kijiwe kama cha hapo mtaani kwao!!
Serikali ni dude kubwa sana ..!
 
Sasa wewe kwa akili yako lini MSUKUMA akaweka mali za kuibiwa zenye thamani ya bilion 2 kanisani?
Hivi nyie viumbe mlizaliwa na utandaubongo au?
Kanisani kuna nini zaidi ya mabenchi na speaker na mic?
Mabenchi ya mbao uibe upeleke wapi?

We unaamini kabisa kuwa NGOSHA kaweka Mali za BILIONI 2 KWENYE KANISA!!
Basi we ndio ovyo kabisa
Kuliko hata huyo tapeli wa kisukuma
Twende taratibu

Madai yako ya kukanusha taarifa za wenye Kanisa ni kwamba haiwezekani polisi wakaiba au haiwezekani kuwa na kiasi hicho ndani ya Kanisa?

Kwasababu on other hand ni kama unakubali polisi waliiba ila unachopinga wewe ni kiwango cha hela walichoiba.
 
Suala la askari kuiba au kutokuiba hilo linawezekana. Maafande wa Tz wengi sio waaminifu.
Lkn suala la mchungaji wa KISUKUMA Kuweka mali ya bilion 2 KANISANI hilo mpk yesu atarudi HALIWEZEKANI.
Hakuna MSUKUMA wa hivyo. Naongea km mmoja wa wasukuma chapa ya Ng'ombe.

Sisi wasukuma tunajuana
 
MWANANCHI KATAA KUFATA MKUMBO ,

USIKUBALI KUICHOMA NCHI YAKO YA TANZANIA , HATUNA NCHI NYINGINE ZAIDI YA HII .

USIFATE MKUMBO WA WATU WALIOLIPWA KULETA TAHARUKI
 
Back
Top Bottom