kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,625
Yaani huu UTAPELI unauita MIUJIZA?Achana na maswala ya shuhuda za miujiza hayo yana upande wake ambayo hayana uhusiano na unyeti wa hili jambo.
Kwa hiyo msimamo wako ni kuwa hakuna wizi ambao polisi walifanya kanisani kwake?
mkuu vipi.? Umeamka na pepo la mahaba ya TAPELI gwajima au?