Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

kwahio mmetusogezea siku tena?
Teh teh teh
Huyo jamaa anaejiita Kalamu ataendelea kuandika hizo tarehe za so called mapinduzi mpk siku wanaenda kumzika kijijini kwao ujiji .
Huyu ni muha . Na waha kwa ligi ya mdomo huwawezi lkn kwenye action huoni mtu.
 
nasubiria atupe taarifa mpya, mzee ana mdomo sio poa Kalamu
 
Teh teh teh
Huyo jamaa anaejiita Kalamu ataendelea kuandika hizo tarehe za so called mapinduzi mpk siku wanaenda kumzika kijijini kwao ujiji .
Huyu ni muha . Na waha kwa ligi ya mdomo huwawezi lkn kwenye action huoni mtu.
1765293918385.png

anaingia na kutoka haamini macho yake
 
Suala la askari kuiba au kutokuiba hilo linawezekana. Maafande wa Tz wengi sio waaminifu.
Lkn suala la mchungaji wa KISUKUMA Kuweka mali ya bilion 2 KANISANI hilo mpk yesu atarudi HALIWEZEKANI.
Hakuna MSUKUMA wa hivyo. Naongea km mmoja wa wasukuma chapa ya Ng'ombe.

Sisi wasukuma tunajuana
Huko kwa wasukuma tutakuja kujadili baadaye.

Hoja yangu ipo kwenye polisi kuhusika na wizi.

Unapoweka option ya "kuiba au kutokuiba" kwenye swali ambalo lilihitaji jibu moja la jumuishi ni kama unataka kujenga backup ya kuwatetea.

Ikiwa Kanisa lilikuwa chini ya ulinzi wa polisi kwa zaidi ya miezi 5, halafu baadaye linakuja kukabidhiwa kwa wahusika likiwa katika hali ambayo vitasa vya milango vimevunjwa, safe box imevunjwa, sound system haipo, viti kadhaa havipo.

Bado ukiulizwa nani aliyehusika na huu wizi wa hizo mali utajibu "askari kuiba au kutokuiba hilo linawezekana"

Kwamba huwezi kutoa jibu la pamoja kwasababu kuna possibility ya hizo mali zisiwe zimeibiwa na polisi?
 
Wewe unaandamana kwenye mikeka ya kubeti au upo site gani ?
Mimi nipo chumbani bado sijaanza kupambana na kahaba nimewaachia walio kuwa wanasema kahaba anaupiga mwingi na kutuita sisi sukuma gang ... wajifunze kuheshimu viongozi wazalendo kama jpm ...ila ninakalibia kutoa muongozo na kumuondoa KAHABA KITINI MAANA NAONA KAMA WAPUMBAVU MMESHA JIFUNZA....
 
Awe site kwani hajui kunyea kwenye boxer!
Thubutu.
Tanzania sio kenya.
Hapa wakileta nyodo za kuharibu nchi tunapiga vyuma tu.
Hizo ni porojo tu kwangu ROSTAM AZIZI NA USHENZI WAKE WOTE ILA KWANGU LAZIMA AFIKILI MARA SABA...niandamane ? Mfano huyo mange kimambi si ndiyo alimpinga jpm na kuwa sahidia kina Rostam Aziz hadi wamechukua nchi ...waache wapumbavu wajute kwanza ....NINACHO JUA MIMI KISICHO NA SHAKA NI KWAMBA SAMIA AWEZI KUTOBOA PIA MWISHO WAKE NI MBAYA NA MCHUNGU NA WA AIBU
 
Huko kwa wasukuma tutakuja kujadili baadaye.

Hoja yangu ipo kwenye polisi kuhusika na wizi.

Unapoweka option ya "kuiba au kutokuiba" kwenye swali ambalo lilihitaji jibu moja la jumuishi ni kama unataka kujenga backup ya kuwatetea.

Ikiwa Kanisa lilikuwa chini ya ulinzi wa polisi kwa zaidi ya miezi 5, halafu baadaye linakuja kukabidhiwa kwa wahusika likiwa katika hali ambayo vitasa vya milango vimevunjwa, safe box imevunjwa, sound system haipo, viti kadhaa havipo.

Bado ukiulizwa nani aliyehusika na huu wizi wa hizo mali utajibu "askari kuiba au kutokuiba hilo linawezekana"

Kwamba huwezi kutoa jibu la pamoja kwasababu kuna possibility ya hizo mali zisiwe zimeibiwa na polisi?

Gwajima Ana ASILI YA UONGO tena UONGO wa kipumbavu kabisa.
ALIDAI MBELE YA WATU TENA KWENYE TV KUWA ANAFUFUA WAFU !!
Na akampanga binti mmoja ajifanye KAFA na Aka act kuwa KAMFUFUA.

HUYU mtu anaeweza KUSEMA UONGO WA KIJINGA NAMNA HII atashindwa KUDAI KAIBIWA wakati hakuna KILICHO IBIWA?

Hebu mtazame hapa.

View: https://youtu.be/GZS0hyb3ONE?si=FQgDVTlmxKUqzE1l

Huyu TAPELI kuna muungwana yyt anaweza kuamini chochote anachosema?
 
Achana na maswala ya shuhuda za miujiza hayo yana upande wake ambayo hayana uhusiano na unyeti wa hili jambo.

Kwa hiyo msimamo wako ni kuwa hakuna wizi ambao polisi walifanya kanisani kwake?
 
Labda kiswahili kinakupa shida
Kifupi ni kuwa HAKUNA KAULI YYT ATATOA GWAJIMA mimi NIKAAMINI.
Mpk siku atakapo omba radhi kudanganya Ummah kwa ule Uongo aliokuwa anasema kwa MIAKA MINGI SANA.
Full stop.
 
Kama unatatizo na kauli ya Gwajima sawa ila kumbuka aliyetoa taarifa ya upotevu wa hizo mali sio Gwajima.
 
Gwajima Ana ASILI YA UONGO tena UONGO wa kipumbavu kabisa.
ALIDAI MBELE YA WATU TENA KWENYE TV KUWA ANAFUFUA WAFU !!
Na akampanga binti mmoja ajifanye KAFA na Aka act kuwa KAMFUFUA.

HUYU mtu anaeweza KUSEMA UONGO WA KIJINGA NAMNA HII atashindwa KUDAI KAIBIWA wakati hakuna KILICHO IBIWA?

Hebu mtazame hapa.

View: https://youtu.be/GZS0hyb3ONE?si=FQgDVTlmxKUqzE1l

Huyu TAPELI kuna muungwana yyt anaweza kuamini chochote anachosema?

Hahaha Hapa JASUSI alitupiga Kamba live live.
 
Halafu eti huyu Tapeli leo anadai kaibiwa na askari mali ya BILION 2 kanisani
Hata km wameiba. Zile benchi za mbao za chang'ombe benchi moja linauzwa milion 2 au?
Yaani jamaa kawa mkuda mpk kapagawa.

Halafu askari akaibe mabenchi akapeleke wapi?
 
Gen Z tukubaliane.
SSurface waefare (vita ya wazi/vita yankukabbiliana/Maandamano) tumepoteza /tumeshindwa.

Napendekeza tutulize akili, tuingie chimbo tuje na mbinu nyingine.

Tutangaze underground warfare. Vita isiyoliganwa wazi. Vita ambayo mlengwa hanui adui yake ni nani, yuko wapi na ni lini atatekeleza kusudi lake.

Vita ambayo, unam-target mtu (mlemgwa) unamsoma kwa muda kisha unatekeleza azima yako bila kumhusisha mtu mwingine yeyote hata rafiki yako.

Unachapa tukio na unasepa bila kuacha alama yoyote.

Kumbuka kuvaa plastic gloves kuficha finger print toka muda wa kushika zana zako za kufanyia tukio
 
Wale jamaa sita hatari aisee,naamini wapo sehemu wametulia wanatamani nyumbu watoke
Aisee nilifurahi walipoanza kupiga kazi na kofia zao wangetuwekea number zao au hata ya ofisi ya kitengo tuwazawadie kwa michango , maana bila wao saa hizi wote tungekuwa wakimbizi tumeshafilisika , MUNGU BARIKI MAJASIRI PASUA VICHWA ZA MAJAMBAZI NA VICHAAA MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU YENYE HERI
 
Hao tunawaita mafisadi.
Manake fisadi ni mbaya kuliko mwizi.
Lkn wale waliondamana na wanaotaka kuandamana wengi ni Wezi.
Tumeona wenyewe walichofanya 29 oct.
Leo wakitoa pua tu wanakula shaba.
Fisadi ametumia fursa loop holes zilizopo kutokana na nafasi yake, pili fisadi anaweza kutolewa kwenye hiyo nafasi ufisadi ukaisha, tatu fisadi pia anashtakiwa ila anaiba bila nyie au sisi kujua lakini mwizi anatumia nguvu kukunyanganya
 
Halafu eti huyu Tapeli leo anadai kaibiwa na askari mali ya BILION 2 kanisani
Hata km wameiba. Zile benchi za mbao za chang'ombe benchi moja linauzwa milion 2 au?
Yaani jamaa kawa mkuda mpk kapagawa.

Halafu askari akaibe mabenchi akapeleke wapi?

Polisi kuiba lazima waibe, Na Gwajima nae lazima aongeze sifuri ili mambo yanoge..

Hao wote ni WASWAHILI TU
 
Maji yako puani.
Ukute alibeti na wale wazee wa vingunguti shs elf 5000 kuwa leo lzm waandamane.
Sasa anajificha manake buku 5 kwa mzembe na mzururaji sio ndogo .
Na kuna wazee 6 wanadai
Lzm ajute kuropoka
lazima arudishe pesa wa wafadhili
 
Polisi kuiba lazima waibe, Na Gwajima nae lazima aongeze sifuri ili mambo yanoge..

Hao wote ni WASWAHILI TU
Polisi kweli wanaweza kuiba lkn sio mabenchi.
Bench la mbao upeleke ukamuuzie nani?
Si bora kuiba maji ya azam unaweza kudanganya watu yametoka Vatican ukapiga hela.
 
Wakati unaandika huu utumbo ungeanza wewe kuonyesha mfano.
Toka uone.
Wezi wakubwa nyie.

Leo tupo wenyewe mitaani.
Hapa ni kobazi za makalio mpk mseme pooo
walidhania kutakuwa na fursa leo ndo hamna nywi nywii wala nyonyoooo
 
Back
Top Bottom