Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

Nasikia Samuya anaumwa sana.
Sikuhizi kila mtu kitengo, kila mtu informer, kila mtu ana za ndani.....

Cha kucheksha za ndani na nje hata haziendani. Oohh jeshi liko na sisi tokeni, mara jeshi linatuangalia tunafumuliwa ubongo.

Ooh samuya kafa, ghafla ka sign mkataba na Marekani.

Hoves.

Mimi nasubiri Rehema za BWANA, akiacha auawae haya, akiacha atutawale kwa chuma hadi 2030 haya.
 
Dar watu waliokimbilia mikoani haifiki laki tano, bado kuna watu zaidi ya milioni tano na nusu hapo vijana let's say ni milioni mbili na nusu je kati ya hao wakiingia barabarani at least laki tano au milioni moja askari wa kuwadhibiti watatoka wapi?
Unatumiaje wakiingia....mi nadhani uanze wewe au? Au umeenda road ukajikuta upo peke yako?
 
Back
Top Bottom