Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

If you have asked for it, that is exactly what you will get!!
 
Aisee hii kitu imenifanya hadi nikajiregister, sio mchezo wanaume bana, wote ni wale wale.

embu badilikeni bana, ombeni OFU ya Umungu iwe juu yenu.

mie naukubaligi usemi uanosema wanaume baba,mama yao ni mmoja, leo ukisema wako ni hivi utasikia wa mwenzio ni vile, hakuna jema.
 
Baba Askofu unakazi kubwa ya kuwasaidia hawa friends zako ,kwa maombi yako watabarikiwa na kuacha haya yote ..kesha ukiwaombea Amen ..tutasaidiana

jamani nimem mic MJ1, mwenye taarifa plz.
 
mie naukubaligi usemi uanosema wanaume baba,mama yao ni mmoja, leo ukisema wako ni hivi utasikia wa mwenzio ni vile, hakuna jema.

hawana shukrani kabisa hata ukiwabeba mgomgoni, hawabebeki, ni bora tu hukaushie, kha!
 
huwa nakuonea huruma sana dearest, yaani cjui nikuelezeje...una roho ndogo sana, ucje fikiri japo ngumu kwenye ndoa ni mpaka mtu atakapo cheat, kuna vijimambo vingine vigumu kuliko hii na bado unatakiwa uyakabili.....cjui nikueleze vipi mpendwa...

kuna msemo walio ndani wanataka kutoka , na wa nje wanataka kuiangia, utamu wa ngoma kuingia na kucheza mamyyy, Nyamayao wanafikiri ndoa lelemamaa, dhubutu, waingie wayaone
 
kuna msemo walio ndani wanataka kutoka , na wa nje wanataka kuiangia, utamu wa ngoma kuingia na kucheza mamyyy, Nyamayao wanafikiri ndoa lelemamaa, dhubutu, waingie wayaone
binasfi siichukulii ndoa kama lelemama, ukizingatia umuhimu na utakatifu wa hii taasisi yenyewe. ila nashangazwa na haya yanayotendwa na nyie mloingia humo. nasukumwa kusema inawezekana baadhi yenu mliingia bila kujua what were u putting yourselves into.
 
Baba Askofu unakazi kubwa ya kuwasaidia hawa friends zako ,kwa maombi yako watabarikiwa na kuacha haya yote ..kesha ukiwaombea Amen ..tutasaidiana

Nawaombea Mama.... Mungu hashindwi neno...
 
Back
Top Bottom