Iza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 2,045
- 643
halafu wao wanaona kawaidaa... mie nimcal mtu 27 times kawa mamangu mzazi...khaaa 3 znamtosha ikiambatana na kuzima cm kabisa....afie huko huko.
Dada punguza ukali..sio vizuri kuombeana mabaya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu wao wanaona kawaidaa... mie nimcal mtu 27 times kawa mamangu mzazi...khaaa 3 znamtosha ikiambatana na kuzima cm kabisa....afie huko huko.
ni kweli kabisa.....hv nagundua Bala kafanya infidelity dah.............ngoja kwanza (i think I will get a heart attack)
Itakuwaje? ngoja niondoke naona holiday yangu itaharibika sasa hivi .... C u guys in few days...Mbona unachukia tu kwa kuona vivuli? Ukiona mambo yenyewe itakuwaje?
Hakuna mtu hapa amesema mke wake yuko salama. Wengi wetu tunaongea kwa sababu kama wife anafanya basi mambo yenyewe yanatendeka bihind the scene ambako hatuoni wala kupata tetesi. Tunaaamini tuko salama, ni kwa kiasi gani hilo hakuna mwenye jibu!!
Dada punguza ukali..sio vizuri kuombeana mabaya..
Itakuwaje? ngoja niondoke naona holiday yangu itaharibika sasa hivi .... C u guys in few days...
naapa kwamba sitathubutu kamwe kufanya hii mambo mnaita infidelity
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:Ngoja Bigirita aamke. Tutapata uzoefu wa kutosha. Kwa sasa ngoja nirizevu uzoefu wangu..............:fish2:
ni kweli kabisa.....hv nagundua Bala kafanya infidelity dah.............ngoja kwanza (i think I will get a heart attack)
FL1, nadhani tatizo ni tabia ya wanaume kwa jinsi walivyoumbwa. Ukiacha mke wa ndani, mwanamume anaweza kusimulia kila kitu kumhusu mhusika na kile alichofanya na mwanamke wa nje. Nasikia wanawake hawawezi hata siku moja kusimulia kitu cha namna hiyo.
Hata hivyo naomba tu nikueleze kuwa tupo baadhi wanaume tunaishi viapo vyetu lakini kama nilivyosema, kuna wakati uzalendo unakaribia kuyoyoma! Ni kumwomba tu Mungu kwani kwa mfano hii miaka kama 10 iliyopita, inakuwa na mapambano haswa. Ila mbaya zaidi ni kwamba wife anaweza kuwa hakuamini kiasi hicho ukizingatia matezo unayopata kwa kula kwa macho tu!
huwa nakuonea huruma sana dearest, yaani cjui nikuelezeje...una roho ndogo sana, ucje fikiri japo ngumu kwenye ndoa ni mpaka mtu atakapo cheat, kuna vijimambo vingine vigumu kuliko hii na bado unatakiwa uyakabili.....cjui nikueleze vipi mpendwa...
Uko sahihi FL1. Penzi haligawanyiki hata kwa dawa ila sex inagawanyika hata ukitaka mara 100. Hivi vitu ni tofauti kabisa! Tatizo la wakina dada/mama wengi ni kuukataa huu ukweli ingawa wanauishi!
thats is exactly what she said!Wapendwa msijali,hapa si ndio mjini?Ngoja tuu,atailipa mara 3. Au nifanye nne kabisa.Mie kuku wangu nemtega mwenyewe,manati nazibadilisha kila siku.
Kwani mkiacha hiyo ''infidelity''... yenu mtashindwa kunywa ze lager
Sikonge nimekumbuka hili songi hapo chini kama unalo kwenye library yako pls naomba uwaburudishe mabinamu zangu hawa...Eliza wape kinywaji anayekunywa Valuu, tusker ya kuchemsha,Thoda, nyama choma , bili kwangu
Aisee hii kitu imenifanya hadi nikajiregister, sio mchezo wanaume bana, wote ni wale wale.
embu badilikeni bana, ombeni OFU ya Umungu iwe juu yenu.
Hiyo kitu kwenye Red inachochea sana infidelity... after six beers anaanza kumuona Eliza kama Queen Vile...
Kesheni mkiomba.... Hamjui siku wala saa...
upooo! shkamoo!Ikunda karibu
lakini hilo neno ni HOFU au ulimaanisha tu ulivoandika?
hapo wala hujakosea kwenye red!!
mimi hili ndo huwa nahisi i gumu sana...........or rather moja kati ya magumu ya ndoa
alikuwa anamaanisha mambo yanayohusiana na Mungu yawe Off!!Ikunda karibu
lakini hilo neno ni HOFU au ulimaanisha tu ulivoandika?