Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
U dont need 2 xplain mbona unasomeka vizuri tu.Ah kwani hapa si tunasimulia matukio ya kutosahauliwa kwenye infidelity? nami kule nilikiri kuwa niliwahi kum infidelitia Mama jr! Ndo maana nimeashirikisha kutolisahau!
Ama?:twitch:
Mungu wangu!!!
Hivi nani alikuambia ukiitishwa kikao na ndugu ndio unaacha?? My experience tells me that mtu anaacha anayoyafanya kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na si ndugu hata kama angekua ni identival twin wake
heheeeee...
De nisome kwa step plz...nimemaanisha nikimbamba anafanya matuc huko nje naharibu kabisa mpaka ndugu zake waweke kikao cha kumuonya acnirudie in case akitaka kunirudia...upo nami?
Kuna sababu nyingine De Novo traditionally mwanaume kumega nje inaonekana ni kitu cha kawaida na kwa baadhi ya watu ndio uanaume lakini kwa mwanamke ni kitendo cha aibu kubwa ndo maana huwa hawasemi na pia ndio sababu ni rahisi sana ndoa kusavaivu mume akifumaniwa kuliko mke akifumaniwa. got it?
Kumbuka pia wanawake ni wengi sana kuliko wanaume that means kuna wengi tu ambao hawajaolewa.Yeah sure, one big question.... hivi hawa wanaume huwa wanachapa simbilisi??? no, na kama ni wanawake, sasa watakua wapi hao ambao wanachapwa, si humuhumu kwenye jamii? if yes, kama mwanaume ni mimi au Teamo, kwanini huyo mwanamke asiwe ********* au *********
Two can play that game!!
Kumbuka pia wanawake ni wengi sana kuliko wanaume that means kuna wengi tu ambao hawajaolewa.
We huyo ushamchoka.haa wapi, c ndio ile kuona wify mbona hana tyme nami tena, haulizwi/haojiwi/aje asubuhi sawa/hivi na vile poa....alijirudi mwenyewe, sasa ishu kama hii BHT hawezi, wengine tunakaukia kama hakuna linaloendelea wakati BHT atakuwa kajifungia chumbani anaomboleza.
Hiyo ni poor distribution tu. BTW ushahidi ni sensa hii ya mwisho sorry mwaka umenitoka (nikumbushe) inaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa Bongo tu lakini kuna sehemu kama China na India huko wanawake wachache kuliko wanaume ila pia kwa sababu wanawaua kwa makusudi kwa sababu za kiutamaduni.Chief hi statement inatumika mara kwa mara ; naomba mnijuvye inao ushahidi wa kisayansi ama ni mapenzi yetu tu? Mfano juzi Dodoma ilifurika lakaini wale watoa huduma walikuwa wachache sana mpaka sehemu nyingine walikuwa wakishushwa tu wanachukuliwa tena! Ikanifanya nigundue upungufu wa hii kauli.
nimesahau nini kinaendelea hapa ....
he kweli nimechapia hadi kusoma... duh!!!De nisome kwa step plz...nimemaanisha nikimbamba anafanya matuc huko nje naharibu kabisa mpaka ndugu zake waweke kikao cha kumuonya acnirudie in case akitaka kunirudia...upo nami?
Sema uzoefu wako....kuwa jasiri uanze naona kila mmoja anangoja wa kulianzisha.....
Nianze nini RR ...ndoa yenyewe bado changa namna hii mwenyewe ulikuwa chairperson .unataka kuharibu ati
Chief hi statement inatumika mara kwa mara ; naomba mnijuvye inao ushahidi wa kisayansi ama ni mapenzi yetu tu? Mfano juzi Dodoma ilifurika lakaini wale watoa huduma walikuwa wachache sana mpaka sehemu nyingine walikuwa wakishushwa tu wanachukuliwa tena! Ikanifanya nigundue upungufu wa hii kauli.