FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Bora salama. Umemfugashia kondom?
Let me ask! How does infidelity starts! Im newly wedded to spouse and I have never thought of cheating to her! Based on this little experience in my marriage it sounds so odd and disgusting having an affair out of your marriage!
What circumstantial reasons or a cause that makes a man think of having an affair! Can somebody tell us his personal story on how started and why? How do you handle that guilty after an affair! It may help others to fall in the same trap!
yaani kadiri mnavomimina maelezo yenu kujustify hii dhambi mnaathiri mioyo mingi sana jamani.....
ningekuwa mod ningelifunga hili lisred wapwaz n binamuz wakalime huko aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
FL1, umeona sasa kuwa hizi issue za infedelity zinakata kote kote? Sema wakina mama huwa nawahurumia kwani katika tukio kama hilo wao wenyewe huwa wanaanza kwa kujichapa red kadi kabla hata hawajaonana uso kwa uso na mwenye mali. Pia hata jamii haina yellow kadi kwa wakware wa kike. Ila wale wa kiume wanatukuzwa sana kupanuliwa empire zao! Hii dunia basi tu!
halafu wao wanaona kawaidaa... mie nimcal mtu 27 times kawa mamangu mzazi...khaaa 3 znamtosha ikiambatana na kuzima cm kabisa....afie huko huko.
Mie Nyamayao nilishaacha kupiga kabisaa!giza likiingia mie makufuli,mageti n.k yoote yanafungwa!manake ni kujichoresha.Kama akipata tatizo huko,tutajua there and then!Kama ni aibu anayoyafanya ni aibu toshaaa!Uhuru wa TANU!Wasiwasi nimemuachia mama yake aliyemzaa kwa uchungu!@lol!
jamaa tatizo lake ALIHAMIA KABISA............
hiyo si 'infidelity',it is something worse
Hii sijui ni rule namba ngap?Infidelity hutakiwi kuzidisha zaidi ya 4 hrs! Sio kuhamia namna hii:A S tongue:
Dah jamaa alikuwa ni mgeni wa Infidelity huyo
Hivi bado tupo eeh?
[/I][/B]
huu ni uonevu kabisa na ukiwa mwanamke ndani ya ndoa na ndoa ndio inaishia hapo,:crying:
Mie Nyamayao nilishaacha kupiga kabisaa!giza likiingia mie makufuli,mageti n.k yoote yanafungwa!manake ni kujichoresha.Kama akipata tatizo huko,tutajua there and then!Kama ni aibu anayoyafanya ni aibu toshaaa!Uhuru wa TANU!Wasiwasi nimemuachia mama yake aliyemzaa kwa uchungu!@lol!
alafu a-Resti in Piis kwa BP.....
Jirani upo kumbe we li sredi babu kubwa hili! Linawaka kuliko nyasi nyikani!
Lakini madada humu mbona hawaleti zao ama za marafiki zao?
Wadada/wamama wanaweza kutenda dhambi nyingine lakini siyo hiyo ya kwetu...?????:lie:
Kuna swali liliuliza kwani hii kitu wanaume wanatenda na kina nani?
ha ha ha bora kujipa moyo na imani..............presha za nn bana!! kweli wanatokea Pluto!!Na wanawake ila hao wanaotokea PLUTO au MARS!:lie:
FL1 dada yangu na binamu yangu. Hebu sema ukweli wa kutoka moyoni. Ukweli na ukweli mtupu. Hivi tangu uzaliwe hujawahi kufanya infidelity? Hujawahi kumcheat boifrend/mchumba/mume wako? Hebu sema tu ukweli, hakuna atakayekung'ata hapa!:amen:kweli wewe ni dawa ya kutuliza maumivu mmmh ...
na kweli anataka ku RIP , ila mi kwa sasa nashukuru sikupata BP wala Total na sitaki ku rest in peace kwa kujitakia mie bado mdogo ati.
Jirani upo kumbe we li sredi babu kubwa hili! Linawaka kuliko nyasi nyikani!
Lakini madada humu mbona hawaleti zao ama za marafiki zao?