Hahahaha! umeiona eh? Yanini malumbano?:fish2:
Jaribu kumuonyeshea kama atakuwa anaendelea kuchoka. acha visingizio onyesha juhudi zako pia
Ntaonyeshea wapi wakati muda mwingi mnakuwa mmechoka?
Hope umeongea nakugongea ile kituHawa wanaume wanadai kua hawaoni infidelees wakati infedelee wanaokutana nao ni Baa med na vichangu ambao hawajui hawajawahi kushika hata mouse( hawajui internet ni nini)
Hebu msome huyu mzalendo mwenzangu hapa chini tafadhaliwewe huchokagi? mbona visababu vyenu haviana kichwa wala miguu?
Namuonyeshea wapi ilhali yeye ananitangulia kwenda kulala na nifikapo kwa bed anakoroma? Namwonyeshea lini endapo weekend anakuja na kisingizio kuwa amechoka na kazi za usafi na J'pili watoto wapo nyumbani?😡😡😡
dearest kubanana yataka moyo wa chuma mamii............
What do you suggest iwe way forward?? Chukulia mfano wako wewe mwenyewe kama inawezekana
Mi mbona hunitendei haki leo (Au mpaka tufanye infidelity?):fish2:Hope umeongea nakugongea ile kitu
Hebu msome huyu mzalendo mwenzangu hapa chini tafadhali
upo kika zie eeh? Ngoja nitafute sredi ya MC lema duh
Hahahaha! umeiona eh? Yanini malumbano?:fish2:
Mi mdogo mdogo huyoooo natangulia Oceanic......Najiweka pembeni Naogopa msongamano
Bora nitulie ningoje chakula nile!:fish2:
Unataka kusema wanaojua kushika mouse sio infidelitees?? Au...:A S tongue:Hawa wanaume wanadai kua hawaoni infidelees wakati infedelee wanaokutana nao ni Baa med na vichangu ambao hawajui hawajawahi kushika hata mouse( hawajui internet ni nini)
Mi mbona hunitendei haki leo (Au mpaka tufanye infidelity?):fish2:
Hii inamaanisha nini kwenye hii sredi walimwengu?
The Following 15 Users Say Thank You to Teamo For This Useful Post:
Asprin (12th July 2010), Baba_Enock (12th July 2010), Bigirita (Yesterday), De Novo (Yesterday), Dreamliner (12th July 2010), Fidel80 (12th July 2010), Ikunda (Yesterday), KakaJambazi (Yesterday), Katavi (Today), Kimey (Today), Kiranja Mkuu (Yesterday), Lubaluka (12th July 2010), Masikini_Jeuri (Yesterday), Mbu (12th July 2010), Roya Roy (12th July 2010)
Kinda ask the same!! Hebu aende pale UDSM, IFM, CBE au aende TANESCO, BIMA, BANDARI,NMB, NBC, VODACOM etc etc aone washika mouse wenye jinsia ya kike wanavyoinfidelitaiz!!!Unataka kusema wanaojua kushika mouse sio infidelitees?? Au...:A S tongue:
Vipi tena Tumaini? Mbona umecheza ngoma si yako? Mwache Salha wangu anjibu mwenyewe bana lol!Asprin, kua makini....umenifananisha na vile vichangu eee....
Nyie wanaume kinyaa tupu...
Infidelitees wamegoma kumshukuru Teamo
Duh hii kali ningekuwa mimi nisingerudi kwanza aibu! pili duh!!!