Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Jirani upo kumbe we li sredi babu kubwa hili! Linawaka kuliko nyasi nyikani!

Lakini madada humu mbona hawaleti zao ama za marafiki zao?

...wewe bana weee, hebu achana na hizo dua mbaya bana. Kina mama wakileta jinsi wanavyotudanganya mbona ndoa nyingi zitavunjika wiki hii!... DNA results ni ushahidi tosha. Ukiambiwa siku ile ulipoharibu bajeti na kumpeleka salooni ndio siku mimba ilipotungwa si tutauana bure?

Kina mama, kwa hisani zenu msiseme mnavyotudanganya, Inauma sana.
Wanawake wameumbiwa ustahmilivu wa hali ya juu, ...sie mnh!?, bado kwanza.
 

bado sina, ngoja niendelee kusubiri huyo atakeyenipa Mungu!!! thanks for the wise word!!
 
Unaonekana una busara kuliko umri wako......pia mwambie mapenzi hayana elimu

duh jamani kichwa changu karibu kipasuke .........thanks for the compliment, hatujamalizana tuendelee
 
wewe ni he au she??? Jidanganye tu kumbe mwenzako anayofanya hujui.....

Mimi sina Uwezo wa Kimungu kujua kama anafanya au hafanyi! Natumai Kama ananiheshimu basi atakuwa Hafanyi
 
Elimu kwenye mapenzi? hakuna kitu kama hicho. wenye elimu zao ndiyo filauni.
Mungu atunusuru wajameni.
 

...nilishamtahadharisha ajihadhari na topic hii...
bht mydear, hebu katoe ushauri kwenye ile topic nyingine kule ya DNA jamani,
achana nao hawa wanakutia ibilisi buree uje kuua bila kukusudia!
 


Nimeipenda hii """ When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her." Lee Major
 
...nilishamtahadharisha ajihadhari na topic hii...
bht mydear, hebu katoe ushauri kwenye ile topic nyingine kule ya DNA jamani,
achana nao hawa wanakutia ibilisi buree uje kuua bila kukusudia!

shem asante kwa ushauri, ngoja kwanza niende kwenye maabara ya DNA, huyu RR nshazisoma indicator zake huyu!!!!

RR I will be waiting
 

hope 2:

You are completely wrong!

Kwa "uzoefu wangu" : wanawake walioelimika na wenye busara they are "worse": they normally "do it" with impunity. Percentage-Wise they can even beat the "streets girls": Naomba tusichimbe sana huko kwa maana naweza kuharibu ndoa za watu - But I'm 100% certain kwamba in they are deadly Promiscuous!
 


sasa dearest, c mpaka umfume?...akija asubuhi au kama ulivyosoma unaenda kumchukua polic kwa sababu hii na ile utakuwa na hakika gani kama anayatenda?...penye blue, cku zote anzana na mhucka wako, leo umemfanyia vagi hiyu kesho kachota mwingine, utafanyia wangapi?...mie nitaanza na mhucka huyo mwingine kitamhusu pale atakapoingilia....kama atakuwana akili timamu atimue mbio kabisa.
 
Yesu wangu, Maria Na Yusufu...........hope we jidanganye mwenzangu!!! kuna watu elimu haijawakomboa hata senti moja

kwanza elimu inahuckaje kwenye mapenzi? dunia mbili tofauti.
 

ooh yeah hapa nazungumzia nikimbamba, and definately ntaanza na wangu, si unajua kuna wale akina Da Sophy? mi kama yule I tell u mimi na yeye..........haijalishi!!!
 
...nilishamtahadharisha ajihadhari na topic hii...
bht mydear, hebu katoe ushauri kwenye ile topic nyingine kule ya DNA jamani,
achana nao hawa wanakutia ibilisi buree uje kuua bila kukusudia!

BHT is too young for this!

andika hapa hapa bana PM mi sisomi wala siandiki
BTH toka hapa kabisa...ni pabaya kwa afya yako.
 
Acha tu dada yangu Nyamayao hawa wanaume mh! sijui mungu aliwaumbaje. maana unaweza ukawa kichaa ukiwawaza sana.
siku hizi na mm walaaaaaaaaaaaaaa sijali arudi asirudi kwao alimradi watoto wangu wamekula wameshiba.

mie ndio ctakagi kuckia ujinga kwenye suala la watoto wangu, na hilo analijua vizuri, aanichezee mie lakini sio wanangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…