Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Wapi invizibo! Thats name calling!!!
wewe endelea unanikatisha bwana, wachana na name caling zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi invizibo! Thats name calling!!!
Rule no 4... Usikubali kosa.......!! Never!... Hakujua kuna askari mmoja wa kiume ni INFIDELATOR by proffession..... RULE No 3. Infidelators must assist each other... Nadhani mnajua kilitokea nini au nimalizie kabisa?
Rule no 4... Usikubali kosa.......!! Never!
...kweli kabisa mamie. Mie waaaaaaaaaaala! sijawahi hata kufikiria. Sina hata la kuhadithia humu!
kuna mtu kaiba password hapa!! lol...wapi invisible!kumbe na wewe wamo? gud to knw.
Hiyo ilikuwa ndogo. Sikiliza hii:
Umeenda kwa dasophy kudumisha mila (valeur inahusika hapo) Katika udumishaji mila usingizi ukakukamata. Kustuka kumekucha. UKIANGALIA SIMU KUNA MISSED CALLS ZAIDI YA 20 ZA WAIFU!! Kichwa kinakuuma unaamua kupiga mahesabu.
Unaenda kituo cha polisi unawahonga buku kumi wakuweke lupango. Unampigia infidelator mwenzako Teamo aje akutoe lupango. Kwa kuwa ushampa habari kamili, yeye amnapitia kwa wife anaongozana naye kituoni. Waifu anawahonga polisi ili wakutoe. safari ya kurudi home kwa mafanikio inatimia.
Kilichokufanya uswekwe ndani waifu ataambiwa mkiwa kwenye tabenako. Kesi kwisha..............:closed_2:
Rule no 4... Usikubali kosa.......!! Never!
Mbona story ni kama copy and paste yangu?????????????Mwenzio nilikuta missed calls 27!!
mbona naambiwa wote mpo sawa, baba, mama mmoja.....hahahaha wewe naona unadanganya Mbu ...
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Maralia inanipanda kweli wanaume mnafanana na ndo maana story zenu zinafanana :sick:
Ama kweli wanaume ahahaha! nimeshangaa sana jamani
Ama kweli wanaume ahahaha! nimeshangaa sana jamani
ndo hapo mama ukiamua kuolewa ujue na mikasa kama hii wakati mwingine inakuwepo sijui kwa bahati mbaya au makusudi??
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:Ndani ya Karandinga mpaka Kilwa road police post. Mzee mzima ndani. Yule askari wa kike alikuwa anachonga vibaya. Anapiga simu ya wife, kwa msaada wa shetani ikawa haipatikani. Anatamba kuwa lazima mtu akomeshwe kwa kuwa wanaume tumezidi. Juhudi za kumbembeleza zikagonga mwamba. Mkanda ukavuliwa, viatu vikavuliwa mzee mzima lupango.......!
Yule askari wa kike alifanya kosa moja kubwa sana. Hakujua kuna askari mmoja wa kiume ni INFIDELATOR by proffession.....
RULE No 3. Infidelators must assist each other... Nadhani mnajua kilitokea nini au nimalizie kabisa?
hehehehe!huyo atakuwa mkuu bonge huyo....Kuna jamaa alisahau kuoga kumbe siku hiyo alipitia kule kule kwa maji taka kufika home kwa wife wake ananukia maji taka dah ilikuwa balaaa tuliitwa mpaka majirani kusolve kibaya zaidi K-Y ilikuwa kwenye mfuko wa shirt jamaa aibu.