Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

... Hakujua kuna askari mmoja wa kiume ni INFIDELATOR by proffession..... RULE No 3. Infidelators must assist each other... Nadhani mnajua kilitokea nini au nimalizie kabisa?
Rule no 4... Usikubali kosa.......!! Never!
 
Hiyo ilikuwa ndogo. Sikiliza hii:

Umeenda kwa dasophy kudumisha mila (valeur inahusika hapo) Katika udumishaji mila usingizi ukakukamata. Kustuka kumekucha. UKIANGALIA SIMU KUNA MISSED CALLS ZAIDI YA 20 ZA WAIFU!! Kichwa kinakuuma unaamua kupiga mahesabu.

Unaenda kituo cha polisi unawahonga buku kumi wakuweke lupango. Unampigia infidelator mwenzako Teamo aje akutoe lupango. Kwa kuwa ushampa habari kamili, yeye amnapitia kwa wife anaongozana naye kituoni. Waifu anawahonga polisi ili wakutoe. safari ya kurudi home kwa mafanikio inatimia.

Kilichokufanya uswekwe ndani waifu ataambiwa mkiwa kwenye tabenako. Kesi kwisha..............:closed_2:


Mbona story ni kama copy and paste yangu?????????????Mwenzio nilikuta missed calls 27!!
 
Mbona story ni kama copy and paste yangu?????????????Mwenzio nilikuta missed calls 27!!


eeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Maralia inanipanda kweli wanaume mnafanana na ndo maana story zenu zinafanana :sick:
 
Kwa mwendo huu.......
INFIDELATORS na INFIDELEES kumbe mpo wengi eh?
 
mbona naambiwa wote mpo sawa, baba, mama mmoja.....
hahahaha wewe naona unadanganya Mbu ...

haya sasa,...LOL,

1759829154_503b3579d5.jpg

 
Ama kweli wanaume ahahaha! nimeshangaa sana jamani
 
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Maralia inanipanda kweli wanaume mnafanana na ndo maana story zenu zinafanana :sick:


halafu wao wanaona kawaidaa... mie nimcal mtu 27 times kawa mamangu mzazi...khaaa 3 znamtosha ikiambatana na kuzima cm kabisa....afie huko huko.
 
Hi sredi inavunja mbavu zangu dah,
Hahahahahahaha infidelity noma:smash:
njoo na yako moja mkuu sandesh...

kuna ile moja ya gongolamboto kwa mama s....

hehehehehe
ile nayo ni sredi ake kabisa
 
yaani mi mwenzenu nilijua INFIDELATORS ni wachache...

kumbe ni JF CREW NZIMA?....

INVISIBLE MBONA HUJAJA NA YAKO MOJA ile ya safari resort kimara?:A S tongue::A S tongue:
 
Ndani ya Karandinga mpaka Kilwa road police post. Mzee mzima ndani. Yule askari wa kike alikuwa anachonga vibaya. Anapiga simu ya wife, kwa msaada wa shetani ikawa haipatikani. Anatamba kuwa lazima mtu akomeshwe kwa kuwa wanaume tumezidi. Juhudi za kumbembeleza zikagonga mwamba. Mkanda ukavuliwa, viatu vikavuliwa mzee mzima lupango.......!

Yule askari wa kike alifanya kosa moja kubwa sana. Hakujua kuna askari mmoja wa kiume ni INFIDELATOR by proffession.....

RULE No 3. Infidelators must assist each other... Nadhani mnajua kilitokea nini au nimalizie kabisa?
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Kuna jamaa alisahau kuoga kumbe siku hiyo alipitia kule kule kwa maji taka kufika home kwa wife wake ananukia maji taka dah ilikuwa balaaa tuliitwa mpaka majirani kusolve kibaya zaidi K-Y ilikuwa kwenye mfuko wa shirt jamaa aibu.
hehehehe!huyo atakuwa mkuu bonge huyo....
 
Back
Top Bottom